Jinsi mkurugenzi wa ATCL na waziri walizuiwa kuingia uwanja wa Oliver Tambo, Afrika Kusini

Jinsi mkurugenzi wa ATCL na waziri walizuiwa kuingia uwanja wa Oliver Tambo, Afrika Kusini

Hao ndio unasikiaa "Alibaba and the forty thieves?" Duuuh!! Midanganyika kweli
 
Hii ilikua wakati wa uzindunzi wa safari za ndege ya shirika la ATCL kuruka baina ya Dar na Jo burg, viongozi hao walikwenda kuipokea ila walipofika kwenye uwanja wakazuiwa mbali.
Dah! yaani kule Afrika Kusini huwa hawaendeshwi kwa mikurupuko, ni mbepari mwanzo mwisho hamna cha undugu wala nini...
Ukizingatia sasa hivi wamekamata ndege ya Tanzania bila kujali kama rais wao alikwenda Bongo kutoa matamko ya kisiasa na kuwakuna Watanzania kwamba ameanza kujifunza Kiswahili. Hayo yote kwa jamii ya kibepari ni zero, hata mkitumia kete ya kwamba mliwakomboa.
------------------------------------------

Air Tanzania Company Limited (ATCL) managing director Ladislaus Matindi yesterday explained why a delegation from the national carrier was turned away at Oliver Tambo International Airport after its inaugural flight to South Africa last Friday.
Mr Matindi blamed “miscommunication” between the airport and immigration officials for the hitch that saw him, Works, Transport and Communication deputy minister Elias Kwandikwa, other ATCL officials and journalists denied entry into the airport for a welcome ceremony.
He told The Citizen in a telephone interview that their hosts, Airports Company South Africa (ACSA), and immigration officials were not aligned over their arrival.
we did this to u! remember?

Dua la kuku halimpati mwewe. Mnataka saaana nchi yetu iharibikiwe, mnatamani sana nchi yetu tupigane vita, mnauchu sana na rasilimali za nchi ili ziwanufaishe ninyi, sasa kwa ufupi ni kwamba kila jambo hutokea kulingana na wakati, sababu za hiyo ndege kushikiliwa inaweza kuwa imesababishwa na ninyi mafisadi na uzuri serikali ya awamu ya 5 imerithi vitu vingi vya ovyo, hivyo na hili litatuliwa na litaisha.
Wamerithi na akili za hovyo ?, kama walijua kabisa kuna madeni na kuna uwezekano wa kushikwa kwanini wapeleke ndege huko ?..., gharama ya bad publicity na madoa kama haya huenda yakaenda mpaka awamu ya 20..., kwenye makosa tupende kukosoa ili tusirudia makosa yaleyale...
 
Nashangaa sana SAA wanapata kichefuchefu na mshtuko wa roho sababu ya ATCL kuingia Rasmi soko la Sauzi.
SAA wanawezaje enda kortini bila kuwajulisha ATCL ama kujifanya hawajui ofisi za Atcl ambapo wanafaa kupeleka notisi ya kesi, wapewe hukumu bila pande zote kusikizwa?
Hii kesi mwishowe ita watia Aibu SAA Na Korti za Sauzi zitajivunjia heshima kwa wawekezaji
wacha hawa wakolomije wanyoloshwe nyambaf - wamezoea kuwaonea kina Lissu, Mbowe, Maalim, Zitto & co!
 
SAA ni ya mkaburu, anajifanya kutikisa kiberiti na namna tumewazibia soko lao la Dar ndio wanachanganyikiwa kabisa

Sasa tutawanyoosha rasmi

Leo unawaita makaburu, juzi uliwaita ndugu wa damu....hehehe kazi yenu rahisi, kuguswa kidogo mnaachia.
 
South Africans ni nyoka weupe, wanawezaje kuwafanyia TZ ujinga kama huu???

Ingekuwa ni Kenya wameishika ndege ya TZ,Magufuli angechukua simu ampigie Uhuru na jambo litatuliwe haraka...

Kwa kweli sipendi madharau wanayokuwa nayo SA
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Mnataka saaana nchi yetu iharibikiwe, mnatamani sana nchi yetu tupigane vita, mnauchu sana na rasilimali za nchi ili ziwanufaishe ninyi, sasa kwa ufupi ni kwamba kila jambo hutokea kulingana na wakati, sababu za hiyo ndege kushikiliwa inaweza kuwa imesababishwa na ninyi mafisadi na uzuri serikali ya awamu ya 5 imerithi vitu vingi vya ovyo, hivyo na hili litatuliwa na litaisha.
hii jamuhuri ishapoteana kitambo sana, endelea kujifariji bt jahazi linazid kudidimia
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Mnataka saaana nchi yetu iharibikiwe, mnatamani sana nchi yetu tupigane vita, mnauchu sana na rasilimali za nchi ili ziwanufaishe ninyi, sasa kwa ufupi ni kwamba kila jambo hutokea kulingana na wakati, sababu za hiyo ndege kushikiliwa inaweza kuwa imesababishwa na ninyi mafisadi na uzuri serikali ya awamu ya 5 imerithi vitu vingi vya ovyo, hivyo na hili litatuliwa na litaisha.
Usilalamike bwana ulizaga kwanza kama ninavo uliza mwenzio je africa kusin inatudai nini?maana mimi sielewi
 
OP tofautisha business na siasa.

Unachotakiwa kufahamu ni kwamba SAA is in a death bed right now, ATCL inazidisha maumivu kuwa kuwapokonya juicy route ya DAR - JHB na sasa Mumbai na wamesikia China & London tayari, ni lazima wakimbilie kortini kukumbushia deni la 2008.

Kipindi kIle cha partnership, SAA walichukua spare parts zetu na baadhi ya vifaa na kuhamishia OR Tambo airport na kuangamiza uwezo wa maintenance hangar facility yetu pale KIA ili tuwe tegemezi.

Anyways, sheria ziheshimiwe, 4 mil. USD is nothing kwa Serikali, italipwa tu hata Leo, uzuri wa courts za SA zinafanya kazi hata jumapili usiku.

Tutabanana tu, hio route hatuiachii....
Mbona hii ni hela ya mboga kwa serikali, si walipe tu kuliko kututia aibu huku. Walipe kisha wawashughulikie waliotufikishe hapa.
 
Back
Top Bottom