Jinsi mkurugenzi wa ATCL na waziri walizuiwa kuingia uwanja wa Oliver Tambo, Afrika Kusini

Hao ndio unasikiaa "Alibaba and the forty thieves?" Duuuh!! Midanganyika kweli
 
we did this to u! remember?

 
Wamerithi na akili za hovyo ?, kama walijua kabisa kuna madeni na kuna uwezekano wa kushikwa kwanini wapeleke ndege huko ?..., gharama ya bad publicity na madoa kama haya huenda yakaenda mpaka awamu ya 20..., kwenye makosa tupende kukosoa ili tusirudia makosa yaleyale...
 
wacha hawa wakolomije wanyoloshwe nyambaf - wamezoea kuwaonea kina Lissu, Mbowe, Maalim, Zitto & co!
 
SAA ni ya mkaburu, anajifanya kutikisa kiberiti na namna tumewazibia soko lao la Dar ndio wanachanganyikiwa kabisa

Sasa tutawanyoosha rasmi

Leo unawaita makaburu, juzi uliwaita ndugu wa damu....hehehe kazi yenu rahisi, kuguswa kidogo mnaachia.
 
South Africans ni nyoka weupe, wanawezaje kuwafanyia TZ ujinga kama huu???

Ingekuwa ni Kenya wameishika ndege ya TZ,Magufuli angechukua simu ampigie Uhuru na jambo litatuliwe haraka...

Kwa kweli sipendi madharau wanayokuwa nayo SA
 
Leo unawaita makaburu, juzi uliwaita ndugu wa damu....hehehe kazi yenu rahisi, kuguswa kidogo mnaachia.
Umesahau kuwa sisi ni nyangau, hata tukifanya nini
 
hii jamuhuri ishapoteana kitambo sana, endelea kujifariji bt jahazi linazid kudidimia
 
Usilalamike bwana ulizaga kwanza kama ninavo uliza mwenzio je africa kusin inatudai nini?maana mimi sielewi
 
Mbona hii ni hela ya mboga kwa serikali, si walipe tu kuliko kututia aibu huku. Walipe kisha wawashughulikie waliotufikishe hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…