Jinsi mkurugenzi wa ATCL na waziri walizuiwa kuingia uwanja wa Oliver Tambo, Afrika Kusini

Tattizo kwa nchi ambazo zinaheshimu amri za mahakama huwa hatari sana, kama mnajua mna madeni huko msirushe rushe ndege kwenda huko, kuna mataifa rais hana uwezo wowote juu ya mahakama.
Hawa wajinga Tz wamezoea vile JPM akisema ujinga flani inakuwa ndio sheria .Halafu walijifanya hapa ati ATCL imefufuliwa "kwa pesa zetu za ndani"...karma has a funny way of exposing liars and pretenders.
 
"Imerithi vitu vingi vya ovyo". Duuuhh
Hapo sasa JK,Mkapa,Mwinyi sijui wanajisikiaje kwa kufanya vitu vya hovyo hatari sana uzuri mmoja mabaya yalifanyika chini ya chama tawala wakati huo na sio sisiemu!
 
Hapo sasa JK,Mkapa,Mwinyi sijui wanajisikiaje kwa kufanya vitu vya hovyo hatari sana uzuri mmoja mabaya yalifanyika chini ya chama tawala wakati huo na sio sisiemu!
Wewe ndiyo umesema sawa viongozi waliopita walifanya ufisadi hata hiyo SAA usikute ilitufanyia ufisadi wa kutosha maana iliwai kufanya biashara na atcl kipindi cha maraisi waliopita hii itakuwa ujuma tu Ila ole wao tukiwashinda watalipa fidia ndefu
 
Usilie mwanangu, dawa la deni Ni kulipa hamna Cha undugu (tuliwakomboa) katika biashara.
 
Hiyo inaitwa kulaaanyoko.. Kama ulizoea kufanya fujo kwako usidhani na kwa watu utafanya hivyo hivyo
 
Sielewi kwnn kuna watu wanashangilia ndege kuzuiliwa, hizi siasa za hapa no hatari sn
Pride comes before a fall...yani kina Geza Ulole , joto la jiwe redeemer @mulisaa na wajinga wengine wamekuwa wakipitisha kelele humu vile their shithole country/ Serikali imenunua mindege kuipiga Rwandair competition afu waingie KQ Ila wameambulia patupu Tena kwa aibu nyingi 😂😂😂

Vile mwasiti and co wanashangilia habari hizi
 
Bora umekiri kuwa tunadaiwa na unaamini tutalipa ilo deni ili safarii iendelee. Naomba nikuulize kitu huoni kuna ujinga mwingiwa makusudi unafanywa na serikali ambao unatugarimu sisi kama taifa? Mfano wangeongeaa mapema na SAA kuhusu ilo deni je abiria wangeathirika? Je sisi wananchi tungejua kuwa kuna uozo na uzembe umetokea huko South Africa?

Nashauri kama kuna madeni mengine sehemu zingine yalipwe mapema tusipate aibu mahakamani kama inavoendelea haya matukio
 
Safi sana

Haya majinga yanafikiri kila nchi ni shithole kama TZ

Nchi hizi zina sheria na utaratibu sio unapeleka kongoro kama unavyojisikia tu sababu wewe ni kibaraka wa CCM!

Sijui tunakosea wapi!
 
Imani za kiswahili hizi

Dua la kuku ni upumbavu!

Kwahiyo una believe kama kuna nchi imekaa inaombea TZ for anything?

Kabisa?

Imani za chooni hizi!

Fateni sheria za nchi za watu nyie!

Mnafata mazoea ya chooni tuliyozoea TZ!

Stop that!
 
Tattizo kwa nchi ambazo zinaheshimu amri za mahakama huwa hatari sana, kama mnajua mna madeni huko msirushe rushe ndege kwenda huko, kuna mataifa rais hana uwezo wowote juu ya mahakama.
Sheria ujinga ujinga ndio maana mashoga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…