Jinsi Mmarekani (wa Peace Corps) alivyoua mtu Tanzania, kukwepa mkono wa sheria na kutorokea kwao

Kwa hiyo inategemea na huyu mhusika wa Peace corps alikuwa ana status ipi wakati janga likitokea. Kama gari aliyoendesha ilikuwa na namba za CD, hamna jinsi, wao adhabu kubwa ni kuondolewa nchini tu.

Lkn kwani ulikuwa muda wa kazi??
 
Title ni mauaji , content Ajali!

Asingetoroka angeitwa jina lingine, lkn kwa sababu alitoroka badala ya kukabiliana na kesi, Ndiyo maana anaitwa Muuaji.
 
Hivi peace corp wanahisije kuona ofisi yao inaongelewa vibaya kiasi hiki?

Wizara yetu ya ushirikiano na mataifa ya nje inasemaje kuhusu hili?
 
Wabongo kwa unafiki yaani kifo Cha kuuliwa na mgeni kinauma kuliko vifo vinavyosababishwa na polisi wetu na raia wengine,

Naheshimu maoni yako, kwani kila mtu kapewa namna na kiwango cha kufikiri tofauti na mwingine.
 
Mbona ni ajali sio mauaji,toka lini traffic case ikawa ya mauaji...ingekua ni hivyo watu wasingekua wanaendesha magari
 
Hawa jamaa wangekuwa na mwanasheria, wangeweza kupata mabilioni ya pesa toka serikali ya Marekani. Tatizo kupata pesa inabidi uwe na pesa kwanza!
Gregory Bailey, a former federal prosecutor who has worked on cases involving Americans charged with crimes committed abroad, said he is unaware of a law under which Peterson could be charged in the United States.
“There are going to be cases where the federal government’s hands will be tied. Because the laws just don’t contemplate the expansion of civilians oversees that has happened in the last 20 or 30 years. A military member, if they act up in the civilian world overseas, they’re still subject to U.S. jurisdiction,” he said. “But a civilian overseas isn’t subject to as expansive jurisdiction.”
 
Hawa jamaa wangekuwa na mwanasheria, wangeweza kupata mabilioni ya pesa toka serikali ya Marekani. Tatizo kupata pesa inabidi uwe na pesa kwanza!
Sio rahisi kupata mabilioni kama unavyosema. Mahakama katika kudetermine amount of damages for be calculated for compensation huwa unaangalia sana lifestyle ya mdai, pia unaangalia kipato na sanasana hizo other accompanying factors kama wanavyoisema yeye ndio alikuwa breadwinner etc.

Ukiangalia compensation ya huyu mama, sanasana wadai wangepata hauzidi milioni mia. Hata hivyo sio mbaya maana ni kiwango zaidi ya walichopata ambacho wamewadhulumu kiukweli.
 
He should be brought here to answer his charges. Here is where he committed the offence hence we have jurisdictio.sn to determine and hear that case.

Police should issue an arrest warrant and request for extradition of the accused through Interpol.
 
Majority ya hao jamaa wanaitwa peace corp ni CIA... End
 
Kuna wale wanajeshi wa marekani walimuua dada wa kihaya kule bahari beach nao walitoroshwa kwa style hiyo
 
Tatizo case kama ni nyingi tu wenyewe kwa wenyewe,na Traffic zinaisha kwa M1 tu.hao washukuru hata kulipwa hyo 20,jiulize mtu anagongwa akiwa anaokota kuni Masaki!!!
 
Milioni 6 kwenye mahakama ya michongo ya Tanzania. Settlement nje ya mahakama tu huwa ni milions of USD huko kwao.
 
Bailey may be ignorant. Haimaanishi kuwa hakuna njia kabisa. Halafu suala ninaloongelea ni madai tena kwa serikali siyo kesi ya jinai kwa huyo muuaji.
 
Kuna wale wanajeshi wa marekani walimuua dada wa kihaya kule bahari beach nao walitoroshwa kwa style hiyo

Hivi unaweza ufanye hivyo marekani, halafu ukwepe mkono wa sheria??
 
Miaka iliyopita kuna mtanzania huko Moshi Marangu (kama sijakosea) aliua na akakimbilia Marekani, huyu naye tusemeje! Wapo pia watanzania walioua na wanadunda mitaani, nao tusemeje!
Huyu mmarekani hakuua ila gari yake ilimgonga huyo dada na kusababisha kifo chake, ni ajali ya barabarani ni si mauaji kama inavyopambwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…