Jinsi Mmarekani (wa Peace Corps) alivyoua mtu Tanzania, kukwepa mkono wa sheria na kutorokea kwao

Ndio maana watu wamepangwa kupunguza ajali kama hizi watu kufanya biashara hadi kingo za barabara wapendwa wetu wanatutoka kwa ajali ambazo zingeumiza vyombo tu!!
 
Ukiangalia hapa hii post ina sura mbili, siasa kwa upande wa Marekani na njaa kwa upande wa Tanzania. Hivi huyo marehemu angepata ajali na kufia kwenye gari la mwanaume yeyote hapa, kuna kesi gani hasa ilikuwa inafanyika kwa sheria za Tanzania, labda zaidi ya issues za Insurance? Kuna watu huko US wanaifanya hii siasa, lakini kwa TZ wanaifanya chanzo cha pesa, tena inawezekana hao hao middleman ndio wanachochea moto.
 

Suala ni kuwa, ukisababisha jambo kama hili acha taratibu za kisheria zichukue mkondo wake. Sasa yeye alikwepa sheria, hakuna kumbukumbu zozote kwamba kuna kesi ilisikilizwa na hatima yake ilikuwa hii.

Maana hata kwa mTanzania akifanya uuaji wa namna hii, kesi itaendeshwa, halafu baadaye wanatoa hatima yake. Lkn siyo kukwepa.
 

Wewe kama siyo wa kutoka shina la sheria, bora ukae kimya. Maana huna hoja ambayo umeijenga inayopatana na akili.
Kwa kuwa kuna wengine waliua na kukwepa mkono wa sheria, basi hiyo iwe namna yetu ya kushughulikia mambo. Yaani kufanya mambo kiujanja ujanja.
 
Najaribu kuwaza tu, hivi unaweza kufanya tukio kama lile marekani, halafu ukwepe mkono wa sheria?
Shida hapo ni vyombo vyetu vya usalama. Askari wamepewa hongo wakamuachia. Polisi wanaweza kushirikiana na interpol wakamtudisha ila hilo haliwezi tokea.
Kwao ukifanya kosa ukakimbia watakusaka kwa gharama yoyote mpaka wakupate
 
Apa naona imetawala njaa tu na ujanja ujanja.
Kwanza hawa jamaa uwa wanakuwa na kinga ya kidplomatic so uwa hawapelekwi mahakamani kwa case za namna hii(unless hakuwa na kinga)
Pili familia ilishalipwa na bima ya huyo muendesha gari,zaid ya apo wanataka nn?traffic case issue inakuwaga ni compensation kitu ambacho tayar walishapewa na naamini walikubaliana na hyo pesa maana huwez pewa pesa kama hujakubaliana nayo.
 
Wewe ni mzito kichwani, lugha ya mmarekani muuaji ni ya kibaguzi, mifano yangu inafuta umarekani, pili hakuua ilikuwa ni ajali ya gari, na sidhani kama kuna hakimu atahukumu kwa kutumia vifungu vya mauaji japo wewe unataka niamini hivyo!
 
Wewe ni mzito kichwani, lugha ya mmarekani muuaji ni ya kibaguzi, mifano yangu inafuta umarekani, pili hakuua ilikuwa ni ajali ya gari, na sidhani kama kuna hakimu atahukumu kwa kutumia vifungu vya mauaji japo wewe unataka niamini hivyo!

Nenda kajipange, ndiyo uje tena. Wewe kwa akili yako, suala kama hilo lingetendwa na mTanzania huko marekani, angekwepa mkono wa sheria kama alivyofanya huyu mmarekani muuaji!!!???

Ajali zote zinazotokea na kusababishwa na wazawa, je zinaisha kinyemela kama ilivyoyeyuka kwa huyu mmarekani muuaji!!!?
 
He should be brought here to answer his charges. Here is where he committed the offence hence we have jurisdictio.sn to determine and hear that case.

Police should issue an arrest warrant and request for extradition of the accused through Interpol.
DU jaribu- utakuwa ni yule aliyekula 7 M za wafiwa
 
Tatizo umejawa na ubaguzi hivyo matendo ya namna hiyo yatendayo hapa nchini na watanzania unayafumbia macho, simamia ubaguzi wako.
 
Pole yao,hiyo 20 mil. haitoshi,watafute mwanasheria,waliibue tena,kopi ya leseni,si wanayo bhana.
 
Aliyekua anawanyolosha hawa kenge keshajifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…