Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Jamii zetu za Kiafrika na Tanzania kwa upekee wamekuwa wakifanya sayansi hii ingawa miaka ya karibuni umeonekana kumezwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Ipo hivi.." Mtu anapokata roho hufa taratibu na kwa hatua na kwa yeyote aliyewahi kuona wakati mtu anakata roho anaweza kubaini hatua chache zinazotokea"..ndiyo maana jamii zetu zulikuwa na utamaduni maalumu wa kuandaa mwili wa mtu aliyekata roho vizuri kwa kutambua tabia ya kurudi kwa roho ya mtu katika mwili.
Roho inapotoka inakuwa inaamini inaweza kurudi tena kwenye mwili kama watu waliopo hai wanavyoamini kuwa mtu aliyekufa anaweza kufufuka tena.
Mfano katika Bara la Asia wamekuwa na utaratibu wa kuchoma moto miili ya watu wanapokuwa wamepitia hatua zote za kifo mara moja na hii inafanya roho inayotaka kurudi inaukosa mwili na hivyo usumbufu wa mizimu kupunguzwa kwa namna hiyo.