Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo tofauti ni yapi?..weka hoja yako vizuri..
Hapana kaka sio mpambano nimetoa ufafanuzi je kuna ubaya kufanya hivyo?
Jr[emoji769]
Asante Kaka picha hii nimeiapload kwa makosa.Nashukuru kwa kunionesha nitaitoa
- Tupe elimu zaidi kupitia hii picha mkuu, isije kuwa hatari kwa wanaoishi humo.
TuskilizieHaya mpambane wenyewe, Mshana Jr na mlakimtoto naona huyu katoa mada mwingine anamuonyesha kwa vitendo.
Nilidhani wanaoishi humo wao ni ahera moja kwa moja so hawatapitia njia uliyoelezea.Asante Kaka picha hii nimeiapload kwa makosa.Nashukuru kwa kunionesha nitaitoa
Ah..ah....Nilidhani wanaoishi humo wao ni ahera moja kwa moja so hawatapitia njia uliyoelezea.
Jokes.
Lakini unatambua ya kwamba Astral ni hatua ya juu zaidi? Msingi wa haya ni meditation na ili uweze kufanya meditation kwa ufanisi unahitaji kufanya yafuatayo
. kupunguza matumizi ya nyama hatimaye kuacha kabisa
. kupunguza matumizi ya vileo hatimaye kuacha kabisa
. kupunguza ngono hatimaye kuacha kabisa
Kupunguza matumizi ya vitunguu maji hatimaye kuacha kabisa
Jr[emoji769]
Brother Mshana Vitunguu hasa navyo vina madhara gani? Pia Ni kweli meditation inakufanya ujitenge na watu?Lakini unatambua ya kwamba Astral ni hatua ya juu zaidi? Msingi wa haya ni meditation na ili uweze kufanya meditation kwa ufanisi unahitaji kufanya yafuatayo
. kupunguza matumizi ya nyama hatimaye kuacha kabisa
. kupunguza matumizi ya vileo hatimaye kuacha kabisa
. kupunguza ngono hatimaye kuacha kabisa
Kupunguza matumizi ya vitunguu maji hatimaye kuacha kabisa
Jr[emoji769]
Sometimes loh[emoji3]Vileo... Na weed ikiwemo?
Vitunguu huchochea mtu kuwa active sana kwenye ishu za hisia hasa matamanio ya kingono hasira na panikiBrother Mshana Vitunguu hasa navyo vina madhara gani? Pia Ni kweli meditation inakufanya ujitenge na watu?