Jinsi mtumishi wa Mungu alivyoelekezwa kukosoa watumishi wenzake wa serikali na siasa

Jinsi mtumishi wa Mungu alivyoelekezwa kukosoa watumishi wenzake wa serikali na siasa

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Anatakiwa kwenda moja kwa moja kwa muhusika. Sio kurusha barua au andiko jumlajumla tena hadi kwetu wananchi tusiohusika.

Nathan alimfuata Daudi moja kwa moja alipozini na kuua raia.

Yohana mbatizajialipotaka kumsaidia Herode alimfuata.

Paulo alipotaka kumsaidia Rais wa Cyplus Sergio Paulus alimfuata Ikulu.

Daniel alipotaka kumsaidia Nebukadneza na kumtabiria atakuwa kichaa na kuishi porini mwenyewe.

Kitu wengi hawajui viongozi wote wa serikali hadi rais ni watumishi wa Mungu bila kujali wana dini au ni wapagani. Ni kosa serikali kuwafanya watumishi wa Mungu vibaraka au watumishi wao, sisi ni watumishi wenza katika kupush makusudi ya Mungu.

Kuna haja ya semina kufanywa nchini ili watumishi wa Mungu kupitia wajue wajibu wao kwa uzuri. Watumishi wa Mungu kupitia serikali na siasa nao wajue majukwaa yao na kuyatumia vizuri bila kuingilia wale wenye majukwaa ya kiroho.

Ni hayo tu.

Mtumishi
Matunduizi
 
Back
Top Bottom