Jinsi mwanamke anavyojua kutongoza

Jinsi mwanamke anavyojua kutongoza

Ahsante kwa taarifa...

Itabidi uanzishwe Uzi wa kama wewe ni mwanamke embu mtongoze mwanaume mpaka akubali tuone..

Cc: Mahondaw
 
Ahsante kwa taarifa...

Itabidi uanzishwe Uzi wa kama wewe ni mwanamke embu mtongoze mwanaume mpaka akubali tuone..

Cc: Mahondaw
Mbona kama uliashaanzishwaga humu uzi wahivo!🤠

Mi ntafeli aseee inahitaji guts sio za nchi hiii uwiii!
 
Back
Top Bottom