Jinsi mwanamke anayejiuza alivyogeuka kuwa wife material

Hiyo stori ina funza sana. Hata mimi moja ya jamaa yangu alinasa kwa kahaba. Naogopa kusema malaya maana ni shemeji yangu sasa [emoji1787]

Haya mambo aisee yanatokeaga sana tu. Makahaba baadhi wanafanya ukahaba sio kwa kupenda bali ni kutokana na changamoto za kimaisha.

Wengine hawana tumaini tena maishani, wameangukia humo.

Ila ni watu poa sana. Wanajua wanachokifanya, ukiwapa heshima wanayostahili na wao watakupa heshima unayostahili.

Utawaambia nini?? Kila kitu wanajua. Wakiamua kutulia wanatulia kweli.
 
[emoji848]aiseee

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Miaka mitatu ni michache mno kumsifia huyo kahaba mstaafu kuwa katulia...Nakuhakikishia WATAACHANA TU!

cc: It will end in tears!
 
I'd nyingine bwana daaa
Sawa mtoboa Siri
Ukijua kausha wanasemaga mabaharia!
😁😁😁
 
I'd nyingine bwana daaa
Sawa mtoboa Siri
Ukijua kausha wanasemaga mabaharia!
[emoji16][emoji16][emoji16]
Sijamtaja jina mkuu hivyo hawezi kujulikana. Nimeumia sana huyu mrembo kuondoka kwenye tasnia yetu ila sina jinsi ameamua kuanza maisha mapya ya ndoa. Ila kiukweli jamaa atakuwa anafaidi maana ile pisi ipo vizuri kunako sita kwa sita...

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu nimekupata vyema!

Anyway nipe Siri ya hio I'd yako maana daaa umetisha kinoma noma yani!
😜
 
Aisha Makoneksheni inaonesha ana akili sana kuliko rafiki yako na wewe mtoa mada......
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shukran kijana umeonja pia
 
ni ngumu kuamn kma ujashuhudia, kwa hil tujifunze pia kuwaheshimu makahaba, maana nao n watu
 
Nina rafiki yangu sana alioa muuza baa tena wa miaka na miaka tukamcheka sana aisee imetokea kuwa ndoa moja ya kupigiwa mfano. Yaani imetokea kuwa power couple moja hatari sana mpaka watu wanashangaa....
tatz tumekall kuwa wanawake wote wanaofanya kaz mazngira magum nao wanakuwa hiv hiv maisha yao yote, kumbe si sahih kuwahukum
 
We Nomaaa
 
Kwa kifupi,malaya nao ni watu kaka.Kitaani kumechafuka sana huku,watu wagongwa hadi kwenye mabanda ya nguruwe,yaan nguruwe zinalia nao wanalia.so mara mia adui unaemfahamu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Somo limeingia vizuri na limeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…