Jinsi mwanamke anayejiuza alivyogeuka kuwa wife material

Kahaba ni binadamu na mwanamke kama walivyo tu hawa wa maofisini na mitaani ila tu kinachotofautisha ni ile kazi ya ujasiriamwili ila wengine unakuta hawapendi ila hawana options tu.

Akipata mtu mwenye nia ya dhati ya kumsaidia wanatuliaga freshi tu! Tatizo ni wale wanawake vichwa maji ambao wakipewaga comfort kwenye maisha wanaanza viburi.
 
Hata mimi nafahamu alikuwa kwenye lile group la kina chocolate ,minah,shishi baby


[emoji23][emoji23]
 
Unamzungumzia Minah Mtamu??? Ila demu bado hajaacha kuuza papuchi na tigo anatoa kama kawa ..kama ndio huyo jamaa kala hasara aisee
 
Miaka mitatu ni michache mno kumsifia huyo kahaba mstaafu kuwa katulia...Nakuhakikishia WATAACHANA TU!

cc: It will end in tears!
That greedy!! Kahaba kumtuliza inahitaji sana uwe na pesa! Demu ambae kashazoea kushika 50-100k per day kumuweka ndani ni mtiti sana!!! Tayari kashaionja ladha ya pesa na starehe za viwanja kumwambia awe mother house ni shida sana. Lazima atachepuka tu kufata wateja zake
 
My fellow Men of culture ...ni hivi usizame katika penzi na kahaba!!! Am telling you their instinct ni ngumu sana kuiondoa. Tamaaa..... Usimuoe mwanamke kwasababu umemuondolea shida, Muoe mwanamke kwasababu amekupenda na kukuridhia. Jamaa ako ameforce tu na hiyo ndoa imekuwa driven by nyege na huruma juu ya maisha ya mwanamke but believe me ni ngumu sana ku last longer either akubali kumruhusu mwanamke aendelee kudanga yaani iwe open relationship kila mtu afanye atakavyo ila mkikutana mnakidhiana haja hivyo. Ila kusema ammiliki huyo mwanamke hatoweza kabisa. Yes Amanah yuko poa ila kumkontrol atulie aache udangaji hatoweza kabiiiiiiiisa.
 
Kahaba atulie sio kitoto maana alishazoea bata na pesa uje umwambie tulia sijui kama utaeleweka,mtu alishazoea kunywa wine na kukesha Morotown,Samakisamaki, Pinpoint, XO, Picnic, The boss, The Don, Billz Rivers, Kahumba, Riverside uje umwambie ashinde nyumbani labda mungu awe amemuingia , ngoja kwanza ncheke😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…