Jinsi mwanamke anayejiuza alivyogeuka kuwa wife material

Duh hapa iko kazi nilifikiri uzi wa chai ya rangi lakini kwa uthibitisho huu naanza kuamini hongera zake muoaji.Kwa machungu aliyopitia hiyo piece kali huenda akaja kuwa wife material.
 
Tena afadhali uoe CD kuliko demu yule wa kumchukua kwao!.....onja onja inasaidia sana!
 
Nina rafiki yangu flani wa Dar alimpenda malaya mmoja wa Buguruni ndo ikawa the same story mpaka leo ni miaka zaidi ya 10 walishafunga ndoa wana watoto na maisha yao mazuri na amani tele.
Kwa utafiti wangu mdogo hawa madadapoa akiamua kutoka moyoni kwamba atulie na aolewe aache kudanga ndo huwa wanakuwa wanawake watulivu sana kwenye ndoa na hawadanganyiki kirahisi maana wamepitia michezo na starehe ya kila aina tofauti na hivi vibinti vidogo
 
Hata malaya wanawazazi, watu wanao waheshimu, wapenzi na hawajui kama wanafanya biashara hizo. Mke hupatikana popote, ndio maana hata hata ndoa ya mtoto wa mchungaji huvunjika
 
Unaturudisha nyuma tunaotakankuoa malaya
 
Usije ukaoa malaya utakuja kujuta maisha yako yote
Nimemuona telegram mdau nipo nae grupu moja anajiita swetieee.............
Kwa uzuri tu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Si wanasema jasiri haachi asili???

Anyways Inapendeza kama kweli anabadilika mazima

cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…