Jinsi Mzalendo Magufuli alivyofanana Sana kimtazamo na Idd Amin Dada

GOTCHA

Wote walikuwa washamba, japo AMIN alikuwa mshamba katika zama sahihi. Sasa hayati kukumbatia fikra za miaka ya 70.....mmmhhh tuishie tu hapa hapa

Shujaa wa ANALOJIA katika kipindi cha DIJITALI
 
hii nguvu inayotumika kupambana na marehem ingetumika kulijenga taifa tungepiga hatua kubwa sana
 
Hivi huu ni ukosefu wa akili kumfananisha Jpm na Iddy amini wakati idi amini alivuruga nchi na alikataliwa hata kuzikwa Uganda lakini jpm kajenga nchi mdaa mfupi na amezikwa na watu wengi na ameliliwa na wengi
 
20. Wote wapo jehanam.
 
Hivi huu ni ukosefu wa akili kumfananisha Jpm na Iddy amini wakati idi amini alivuruga nchi na alikataliwa hata kuzikwa Uganda lakini jpm kajenga nchi mdaa mfupi na amezikwa na watu wengi na ameliliwa na wengi
Humjui Idd Amini vizuri. Museven aliogopa kivuli chake. Amejenga mabarabara ya Rami, uwanja mkubwa wa ndege wa Entebe, Majengo makubwa ya serikali Kampala. Museven alijua msiba wake Kwa waganda ungeleta mpasuko hivyo kumzuia kuja Uganda.
 
Aise umeandika Sifa za Udikteta kabisa! Nataka kuamini Marehemu wote walishabihiana katika sifa hizo.
 

Mkuu heshima kwako. Umepiga mule mule. Wanaonekana waimba mapambio mashuhuri waki zoom:



Hiiiiii bagosha!
 

Umesahau!!wote walikuwa na Ukich..a
 
Wakati Idd Amin Dada anaingia madarakani ndiyo tu nilikuwa nimezaliwa. Sijui alitawala vipi zaidi ya kusoma historia na kumbukumbu za utawala wake...

Lakini utawala wa Magufuli unayemlinganisha naye, nimeushuhudia nikiwa mtu mzima na umeniathiri kwa kiwango kikubwa...

Nikirudi kwa IDD AMIN DADA, kama kumbukumbu ya historia ya matendo ya utawala wake iliyohifadhiwa kwa picha na video za filamu mbalimbali zinazoonesha alivyokuwa katili zilizopo mitandaoni ni za kweli, basi mimi nachelea kusema kuwa huyu mtu alikuwa katili sana kuliko ulivyoeleza hapa...

Mfano, kuna kumbukumbu ya picha na video zinaonesha ktk matukio tofauti tofauti Iddi Amin Dada akitoa amri au yeye mwenyewe akiua kwa risasi hadharani baadhi ya maafisa wa serikali yake kwa kile anachoeleza kuwa ni kwa sababu ya usaliti....

Hayati John Pombe Magufuli, alikuwa mtu mzuri sana. At first lianza vizuri na mimi nilikuwa mmoja wa mashabiki wake. Lakini kafuri muda ulivyienda akaanzakubadilika na kuanza kufanya makosa kidogo kidogo....

Na kasoro yake kubwa iliyomharibia kila kizuri alichokuwa nacho na kukifanya ni namna alivyowa - treat wakosoaji wake na kuamini kuwa mambo yote yanaweza kutatuliwa kwa mabavu tu kwa kupuuza sheria na katiba...

Mathalani; alifanya makosa makubwa sana kutesa, kuteka na kumpoteza kila aliyemdhania anakwamisha mipango yake...

Na the greatest mistake of all times during his administration, lilikuwa ni kujaribu kumuua Tundu Lissu kwa staili ile ya kijinga na kipumbavu kabisa mchana kweupe na mahali peupe kama pale AREA D, Dodoma...

All in all, Magufuli alikuwa hajafikia ukatili wa IDD AMIN DADA. Labda asingekufa na angeendelea ktk miaka hii mitano tuliyonayo (2020 - 2025), possibly angefikia ukatili wa dikteta halisi....!!
 
Kwa hiyo kama wanafanana, si ni wakati sasa kama Taifa, kulichukua jambo hili kama moja ya LEGACY ya Hayati!! Yaani Hayati nae alikuwa ni Dikteta kama alivyokuwa Idd Amini Dada!

Au nitakua sijaelewa lengo hasa la hii mada?

Amini hakuwa dikteta alikuwa mzalendo mwenye kuipenda nchi yake, Meko ndiye aliyetamani kuwa dikteta kwa bahati mbaya akaishia kuwa dikteta uchwara;
 
Amini yupi?
Amini hakuwa dikteta alikuwa mzalendo mwenye kuipenda nchi yake, Meko ndiye aliyetamani kuwa dikteta kwa bahati mbaya akaishia kuwa dikteta uchwara;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…