Jinsi Mzalendo Magufuli alivyofanana Sana kimtazamo na Idd Amin Dada

Kitu wasiokijua watanzania wengi NI kuwa mpaka Sasa Idd Amini Anaonekana NI shujaa na mtu mzalendo zaidi kwa karibu robo ya waganda wote na sehemu kubwa ya Afrika. Ndio maana ata Obote baada ya kurudishwa na nyerere kwenye madaraka hakuweza kukaa ata kwa miaka miwili na ndipo akaibuka mseveni kwa kivuli Cha kuwaunganisha watu wa Obote na Amini na kufanya Uganda moja.

Jinsi wanavyofañana.
1. Wote walikuwa wapinga rushwa haswa. Wakati Idd Amini Dada anamkwapua Obote nchi. Nchi ilikuwa inanuka rushwa. Na Sera zake juu ya wizi na wararushwa zilimfAnya kila apitapo watu wapige vigeregere. Alisafisha rushwa na kujenga moyo wa utu miongoni mwa waganda.

2. Wote walipendwa na watu wengi na kuwa Gumzo Africa Mwanzoni mwa utawala wao. Kwa umaarufu wake 1975 Idd Amini Dada alikuwa Mwenyekiti wa umoja wa Afrika na July aliongooza kikao maarufu cha Oau na aliweka ajenda ya kuwatoa wazungu Namibia na South Africa kwa mtutu. Ila hawakuwa na uhusiano mzuri Sana na jirani mojawapo. Ilikuwa kwa Idd Amin na Nyerere na tz ya Magufuli na Kenya.

3. Hawakuvutiwa na wazungu. Wakati Idd Amini Dada akivunja Hadi uhusiano wa kibalozi na Uingereza 1977. Na kuweka urafiki na Saud Arabia na Libya waliompa mka ndege na wanajeshi kwenye Vita ya kagera. Kwetu huku tuliwaita wazungu makaburu na tulijaribu kuwavutia waarabu Kama Utawala wa Morocco na tukaahidiwa uwanja wa Mpira Dodoma. Sema hatukufanikiwa Sana sababu Sasa nchi za mashariki ni dhaifu Sana kiuchumi.

4. Wote hawakuamini Sana Wanawake. Kuna wakati Idd Amini Dada aliongooza balaza la mawaziri lenye mwanamke moja tu. Huku licha ya kuwa na mwanamke makamu wa Raisi. Na katiba kusisitiza usawa wa kijinsia Kuna wakati katika nafasi za wabunge wa Raisi waliteuliwa Hadi wabunge sita kiume kimakosa kwenye nafasi ya mwanamke. Inabidi mbuge mwingine apewe ubalozi. Na nafasi nyingi wanawake walisua sua.

5. Wote walikuwa wacheshi na wakati mwingine wakali. Wapenzi wa michezo. Idd Amini Dada aliweza kupiga gitaa, kinanda na ngoma vizuri. Na zipo picha za jpm akipiga ngoma.

6. Wote waliamini katika Mungu. Spichi zao nyingi ziliingiza maswala ya Imani. Waliweka urafiki na viongozi wa dini tofauti na dini zao. Idd Amini Dada alikuwa rafiki na askofu Lowum Ambaye baadae walikuja kukosana.

7. Wote kufikia mafanikio hawakutaka saana kufata Sheria. Mfano idd Amini Dada alitaka jambazi akipatina na ushaidi upo wasiisubiri mahaka wamalize uko uko.

8. Wote hawakupenda kukosolewa. Ila kwa wakati ule ilikuwa NI hatari zaidi kumkosoa Amini. Kwani aliamini kuwa ukimkosoa umetumwa na magharibi.

9. Wote hawakuwa na uhusiano mzuri Sana na wafanyabiasha wakubwa. Waliamini NI wezi na wanyinyaji. Mfano Idd Amini Dada aliwapokonya Mali, fedha na kuwafukuza wahindi Uganda. Huku hao watu inasemekana wapo walioporwa na tra fedha kwenye ac na kesi za uhujumu uchumi. Hapo Dada alikuwa muwazi Sana.

Wote waliamini katika ununuzi wa vitu vya garama serikalini. Idi alinunua ndege nyingi na vifaru vya kivita huku raia wake uchumi ukishuka na bongo tulinunua ndege huku watu.

10. Hakuna ushaidi wowote kuwa ata moja wao alikuwa mwizi. Wote hawakuwa na account za fedha nje ya nchi wakiwa madarakani.

11. Sio watu wa diplomasia au democracy in nature.

12. Walipendwa watu wa chini kabisa. Idd Amini Dada alikuwa Raisi wa kwanza duniani aliyeamuru wafanyakazi wa Uganda walipewa mshahara kila rth 23 na kufanikisha Hilo kutoka walipokuwa wanakaa miezi kadhaa bila mishahara.

13. Wote waliongoza kwa mbwembwe. Mfano Kuna mkutano wa adhra Uganda Idd Amini alimteua daktari wa kawaida kuwa mganga mkuu baada ya kutamka mapungufu kwenye hospital.

Kasoro kubwa iliyobadili Taswira ya Idd Amini Dada ni ubabe na kutokukosolewa, mzaha na dharau. Kuamini kilakitu kinaisha kwa nguvu. Mfano Aliivamia Tanzania sababu makundi mengi ya waasi wa Uganda Viongozi wao walikuwa Tanzania akina mseveni Enzi hizo. Hakutumia mbinu za kidiplomasia.

14. Wote walipenda Sana kuonekana kwenye vyombo vya habari. Vikao vyake na mawaziri na kila alichokifanya waliweka kwenye media za nchi yake.
15. Walipenda kusifiwa na kuogopwa. Ile habari ya mkurunjenji Mimi NI mkurunjenji. Iliwakuta wachungaji wa makanisa yaliyopigwa marufuku Uganda. Baada ya idd Amini kuwaita kwa kosa la kuhubiri na wakijua idd Amini ndio Sheria aliwauliza mi NI Nani. Moja wao alijibu. Wewe NI General Idd Amini Dada, fieldmarsho, king, the conquer of British Empire, the only president for life Basi jamaa akacheka akawasamehe.
16. Wote walituhumiwa kuweka watu wa karibu au ndugu sehemu nyeti. Maliyamungu inasemekana alikuwa NI mpwa wake ndie aliyekuwa mkuu wa vikosi vya ulinzi. Huku kelele za mlipaji mkuu na upwa zilikuwepo pia huku kwetu.
17. Wote walipenda kila mwananchi achape Kazi, hawakutaka uvivu au kuwa na mtu tegemezi ktk taifa.

18. Wote waliibuka kutoka familia zenye maisha ya chini Hadi kuwa watawala. Hakuna ndugu au wazazi wao waliojulikana katikauongozi wowote Kama uchifu au uongozi wowote wa juu Kama ulivyo kwa viongozi wengi wa Africa.

19. , wote waliimiza matumizi ya kiswahili. Idd Amini ndie alisisitiza kiswahili kuwa Lugha ya Jeshi la Uganda na hawakuwa wazungumzaji wazuri wa kiingereza. Idd Amin Aliongea kiingereza kwa shida zaidi

Kitu ambacho kilimchafua Idd Amin Kwa watanzania, moja alimtoa madarakani rafiki wa nyerere Obote, Pili Vita ya kagera na tatu Propaganda za wazungu na hasa ile filamu ya kuigiza inayomuhusisha na kila nyama za watu kitu ambacho hakiwezi kusibitishwa Hadi Leo ingawa alitokea jamii yenye Tania hizo. Idd Amini alizidisha chuki dhidi ya wazungu na mbaya zaidi alikalibisha na kuwashika mateka raia wa Israel.

Tofauti kubwa waliokuwa nayo Amini aliingia kijeshi, pia Amini aliingusha Sana sarafu ya Uganda uku Magufuli alijitahidi kuidhibiti.
duuh
 
Mara ya kwanza nafika Berlin miaka hiyo mwenyeji wangu aliponiambia miongoni mwa project adhimu zilizofanywa na Nazi ya Adolf Hitler ni ule mpangilio wa Autobahn ambao lilikua ni wazo la miaka zaidi ya 40 nyuma..

Madikteta wengi hufanana kwa tabia na hata mambo kama ya ujenzi ! Ila hujisahau sana na kudhani wanaongoza mabarabara...

Nilijiuliza swali je wajerumani kwa barabara zile kwanini wasingeamua Hitler awe mtawala milele! Nilipata jibu ni kuwa watu hawali barabara wanahitaji uhuru na kujipangia maisha...
Nilipokuwa Uganda nilishangaa kuambiwa kuwa Idd Amini ndie aliyejenga majengo makubwa ya serikali mjini Kampala ndani ya kipindi kifupi cha utawala wake na baadhi ya project kubwa. Achilia image mbaya iliyojengeka huku Tz, kule Uganda Idd Amini wengi wanasifu utawala wake.

Jao nae alikuwa na kikosi cha siri (wasiojulikana), kazi yao ilikuwa ni kuwapoteza wakosoaji na wapinzani.
 
Idd amini ashagawahi mpandisha cheo mfanyakazi wa chini benki kuu kisa kawaonesha ofisi ya gavana walipokua wameenda kumkamata kwasababu uchumi ulikua unashuka.WEJI alimpandisha mtu kua jaji kisa kahukumu kwa kiswahili(hakutaka hata kujua Kama kahukumu kwa haki)..so much in common
 
kikubwa rais wa sasa akitaka atusue,basi abalansi ubabe wa magufuli,ila akili iwe ya jk.

awe rais mjanja,mwenye mabavu.
 
Magufuli baba wewe ulijua kuchapa kazi sasa umepumzikaaaa ila ujue tuu

Huku duniani umeacha watu na mhaho zaidi ya ulivyokua hai..... na ulivyopanda mbegu zikamea bado kidogo tuu wataanza kusema heri ungekua hai

Ulipoondoka tuu walishangilia na kumpongeza SSH kwa fujo na kukukashifu... baada ya SSH kusema kazi mliyoanza pamoja iendelee wamemgeukia. Walimwengu wazito kweli kweli hawa....

Baba huku unatajwa kila sekunde.... waliokuelewa zaidi ya 84% wanakutaja wakisema ulale mahala pema ila wale wasaliti na watesi ndio wana mhaho hadi wanapata magonjwa yasiyoambukiza... tumeshawaomba wakuache upumzike kwa amani wanashindwa..... sasa tumeamua kuwaacha wafe kwa kujitakia maana chuki ni mbaya kuliko ugonjwa wa moyo

Gone but never forgotten... Rest in peace shujaa wetu

Cc Tangawizi
Nina hakika Magufuli hatasahaulika.

Familia ya Ben Saanane itawezaje kumsahau Magufuli?

Familia ya Azory Gwanda itawezaje kumsahau?

Tundu Lisu atawezaje kumsahau Magufuli?

Mdude atawezaje kumsahau Magufuli?

Mo, Manji, Bakhresa, watawezaje kumsahau Magufuli?

Wale wafanyakazi wa umma waliokosa kuongezwa mushahara na madaraja kwa miaka 5 watawezaje kumsahau Magufuli?

Magufuli hataweza kusahaulika, japo siyo kwa kiwango cha Hitler, lakini angalao kwa kiwango cha Idd Amin, Bokasa, Nguema na Wazabanga wa Zaire.
 
Kitu wasiokijua watanzania wengi NI kuwa mpaka Sasa Idd Amini Anaonekana NI shujaa na mtu mzalendo zaidi kwa karibu robo ya waganda wote na sehemu kubwa ya Afrika. Ndio maana ata Obote baada ya kurudishwa na nyerere kwenye madaraka hakuweza kukaa ata kwa miaka miwili na ndipo akaibuka mseveni kwa kivuli Cha kuwaunganisha watu wa Obote na Amini na kufanya Uganda moja.

Jinsi wanavyofañana.
1. Wote walikuwa wapinga rushwa haswa. Wakati Idd Amini Dada anamkwapua Obote nchi. Nchi ilikuwa inanuka rushwa. Na Sera zake juu ya wizi na wararushwa zilimfAnya kila apitapo watu wapige vigeregere. Alisafisha rushwa na kujenga moyo wa utu miongoni mwa waganda.

2. Wote walipendwa na watu wengi na kuwa Gumzo Africa Mwanzoni mwa utawala wao. Kwa umaarufu wake 1975 Idd Amini Dada alikuwa Mwenyekiti wa umoja wa Afrika na July aliongooza kikao maarufu cha Oau na aliweka ajenda ya kuwatoa wazungu Namibia na South Africa kwa mtutu. Ila hawakuwa na uhusiano mzuri Sana na jirani mojawapo. Ilikuwa kwa Idd Amin na Nyerere na tz ya Magufuli na Kenya.

3. Hawakuvutiwa na wazungu. Wakati Idd Amini Dada akivunja Hadi uhusiano wa kibalozi na Uingereza 1977. Na kuweka urafiki na Saud Arabia na Libya waliompa mka ndege na wanajeshi kwenye Vita ya kagera. Kwetu huku tuliwaita wazungu makaburu na tulijaribu kuwavutia waarabu Kama Utawala wa Morocco na tukaahidiwa uwanja wa Mpira Dodoma. Sema hatukufanikiwa Sana sababu Sasa nchi za mashariki ni dhaifu Sana kiuchumi.

4. Wote hawakuamini Sana Wanawake. Kuna wakati Idd Amini Dada aliongooza balaza la mawaziri lenye mwanamke moja tu. Huku licha ya kuwa na mwanamke makamu wa Raisi. Na katiba kusisitiza usawa wa kijinsia Kuna wakati katika nafasi za wabunge wa Raisi waliteuliwa Hadi wabunge sita kiume kimakosa kwenye nafasi ya mwanamke. Inabidi mbuge mwingine apewe ubalozi. Na nafasi nyingi wanawake walisua sua.

5. Wote walikuwa wacheshi na wakati mwingine wakali. Wapenzi wa michezo. Idd Amini Dada aliweza kupiga gitaa, kinanda na ngoma vizuri. Na zipo picha za jpm akipiga ngoma.

6. Wote waliamini katika Mungu. Spichi zao nyingi ziliingiza maswala ya Imani. Waliweka urafiki na viongozi wa dini tofauti na dini zao. Idd Amini Dada alikuwa rafiki na askofu Lowum Ambaye baadae walikuja kukosana.

7. Wote kufikia mafanikio hawakutaka saana kufata Sheria. Mfano idd Amini Dada alitaka jambazi akipatina na ushaidi upo wasiisubiri mahaka wamalize uko uko.

8. Wote hawakupenda kukosolewa. Ila kwa wakati ule ilikuwa NI hatari zaidi kumkosoa Amini. Kwani aliamini kuwa ukimkosoa umetumwa na magharibi.

9. Wote hawakuwa na uhusiano mzuri Sana na wafanyabiasha wakubwa. Waliamini NI wezi na wanyinyaji. Mfano Idd Amini Dada aliwapokonya Mali, fedha na kuwafukuza wahindi Uganda. Huku hao watu inasemekana wapo walioporwa na tra fedha kwenye ac na kesi za uhujumu uchumi. Hapo Dada alikuwa muwazi Sana.

Wote waliamini katika ununuzi wa vitu vya garama serikalini. Idi alinunua ndege nyingi na vifaru vya kivita huku raia wake uchumi ukishuka na bongo tulinunua ndege huku watu.

10. Hakuna ushaidi wowote kuwa ata moja wao alikuwa mwizi. Wote hawakuwa na account za fedha nje ya nchi wakiwa madarakani.

11. Sio watu wa diplomasia au democracy in nature.

12. Walipendwa watu wa chini kabisa. Idd Amini Dada alikuwa Raisi wa kwanza duniani aliyeamuru wafanyakazi wa Uganda walipewa mshahara kila rth 23 na kufanikisha Hilo kutoka walipokuwa wanakaa miezi kadhaa bila mishahara.

13. Wote waliongoza kwa mbwembwe. Mfano Kuna mkutano wa adhra Uganda Idd Amini alimteua daktari wa kawaida kuwa mganga mkuu baada ya kutamka mapungufu kwenye hospital.

Kasoro kubwa iliyobadili Taswira ya Idd Amini Dada ni ubabe na kutokukosolewa, mzaha na dharau. Kuamini kilakitu kinaisha kwa nguvu. Mfano Aliivamia Tanzania sababu makundi mengi ya waasi wa Uganda Viongozi wao walikuwa Tanzania akina mseveni Enzi hizo. Hakutumia mbinu za kidiplomasia.

14. Wote walipenda Sana kuonekana kwenye vyombo vya habari. Vikao vyake na mawaziri na kila alichokifanya waliweka kwenye media za nchi yake.
15. Walipenda kusifiwa na kuogopwa. Ile habari ya mkurunjenji Mimi NI mkurunjenji. Iliwakuta wachungaji wa makanisa yaliyopigwa marufuku Uganda. Baada ya idd Amini kuwaita kwa kosa la kuhubiri na wakijua idd Amini ndio Sheria aliwauliza mi NI Nani. Moja wao alijibu. Wewe NI General Idd Amini Dada, fieldmarsho, king, the conquer of British Empire, the only president for life Basi jamaa akacheka akawasamehe.
16. Wote walituhumiwa kuweka watu wa karibu au ndugu sehemu nyeti. Maliyamungu inasemekana alikuwa NI mpwa wake ndie aliyekuwa mkuu wa vikosi vya ulinzi. Huku kelele za mlipaji mkuu na upwa zilikuwepo pia huku kwetu.
17. Wote walipenda kila mwananchi achape Kazi, hawakutaka uvivu au kuwa na mtu tegemezi ktk taifa.

18. Wote waliibuka kutoka familia zenye maisha ya chini Hadi kuwa watawala. Hakuna ndugu au wazazi wao waliojulikana katikauongozi wowote Kama uchifu au uongozi wowote wa juu Kama ulivyo kwa viongozi wengi wa Africa.

19. , wote waliimiza matumizi ya kiswahili. Idd Amini ndie alisisitiza kiswahili kuwa Lugha ya Jeshi la Uganda na hawakuwa wazungumzaji wazuri wa kiingereza. Idd Amin Aliongea kiingereza kwa shida zaidi

Kitu ambacho kilimchafua Idd Amin Kwa watanzania, moja alimtoa madarakani rafiki wa nyerere Obote, Pili Vita ya kagera na tatu Propaganda za wazungu na hasa ile filamu ya kuigiza inayomuhusisha na kila nyama za watu kitu ambacho hakiwezi kusibitishwa Hadi Leo ingawa alitokea jamii yenye Tania hizo. Idd Amini alizidisha chuki dhidi ya wazungu na mbaya zaidi alikalibisha na kuwashika mateka raia wa Israel.

Tofauti kubwa waliokuwa nayo Amini aliingia kijeshi, pia Amini aliingusha Sana sarafu ya Uganda uku Magufuli alijitahidi kuidhibiti.
Hiyo tisa, kumi pamoja na sarakasi zoote hizo wote 2 wameishia kuwa chakula cha mchwa!
 
Huu ni ufananisho wa kipuuzi tu kumlinganisha magufuli aliyechaguliwa kidemokrasia na iddi amin aliyeingia madarakani kwa mapinduzi. Yote hayo ni majaribio ya wapinga maendeleo na fisadi kumdharaulisha magufuli kiongozi ambaye ameacha kumbukumbu nzuri na majonzi makubwa kwa raia wa tanzania kutokana na kifo chake.
Ni uchaguzi gani wa kidemokrasia uliompa madaraka Magufuli? Huo ambao wakurugenzi waliambiwaoe wamtangaze mpinzani ameshinda?

Magufuli hakuwahi kushinda uchaguzi wa Rais, iwe2015 au 2020. Huo ni ukweli. Mwulize Nape na January. Mzee Lowasa pamoja na kuonekana dhaifu, Mungu amempa zawadi ya kuyaishi maisha marefu ili aushuhudie mwisho wa wadhulumaji maana kuishi ni bora kuliko cheo.
 
Nina hakika Magufuli hatasahaulika.

Familia ya Ben Saanane itawezaje kumsahau Magufuli?

Familia ya Azory Gwanda itawezaje kumsahau?

Tundu Lisu atawezaje kumsahau Magufuli?

Mdude atawezaje kumsahau Magufuli?

Mo, Manji, Bakhresa, watawezaje kumsahau Magufuli?

Wale wafanyakazi wa umma waliokosa kuongezwa mushahara na madaraja kwa miaka 5 watawezaje kumsahau Magufuli?

Magufuli hataweza kusahaulika, japo siyo kwa kiwango cha Hitler, lakini angalao kwa kiwango cha Idd Amin, Bokasa, Nguema na Wazabanga wa Zaire.

Wakati unaandaa hiyo list ungeongeza na hawa watanzania wengine hapa ujifunze kutenganisha vifo au majanga yanayotokea na Serikali yetu

Wapinzani mnatafutaga credits hata kwenye mambo yasiyokuwepo wala kuwezekana...

Jiulize hawa CCM waliouwawa hapa wanatakiwa kumlaumu Tundu, Zito au Mbowe ???
 
Kama kuna kukutana huko kuzimu na wakaanzisishe serikali yao, sisi hatujali kabisa, Kikubwa Mungu katuondolea, mengine ngonjera tu.
 
Wakati unaandaa hiyo list ungeongeza na hawa watanzania wengine hapa ujifunze kutenganisha vifo au majanga yanayotokea na Serikali yetu

Wapinzani mnatafutaga credits hata kwenye mambo yasiyokuwepo wala kuwezekana...

Jiulize hawa CCM waliouwawa hapa wanatakiwa kumlaumu Tundu, Zito au Mbowe ???
Unapoanza kujali hoja kwa kuanza kufikiria upinzani na uccm Basi unafunga Akili zako na kutoa Uchafu tu. Ufanano niliouonesha NI wa mazuri na mabaya.
 
Kitu wasiokijua watanzania wengi NI kuwa mpaka Sasa Idd Amini Anaonekana NI shujaa na mtu mzalendo zaidi kwa karibu robo ya waganda wote na sehemu kubwa ya Afrika. Ndio maana ata Obote baada ya kurudishwa na nyerere kwenye madaraka hakuweza kukaa ata kwa miaka miwili na ndipo akaibuka mseveni kwa kivuli Cha kuwaunganisha watu wa Obote na Amini na kufanya Uganda moja.

Jinsi wanavyofañana.
1. Wote walikuwa wapinga rushwa haswa. Wakati Idd Amini Dada anamkwapua Obote nchi. Nchi ilikuwa inanuka rushwa. Na Sera zake juu ya wizi na wararushwa zilimfAnya kila apitapo watu wapige vigeregere. Alisafisha rushwa na kujenga moyo wa utu miongoni mwa waganda.

2. Wote walipendwa na watu wengi na kuwa Gumzo Africa Mwanzoni mwa utawala wao. Kwa umaarufu wake 1975 Idd Amini Dada alikuwa Mwenyekiti wa umoja wa Afrika na July aliongooza kikao maarufu cha Oau na aliweka ajenda ya kuwatoa wazungu Namibia na South Africa kwa mtutu. Ila hawakuwa na uhusiano mzuri Sana na jirani mojawapo. Ilikuwa kwa Idd Amin na Nyerere na tz ya Magufuli na Kenya.

3. Hawakuvutiwa na wazungu. Wakati Idd Amini Dada akivunja Hadi uhusiano wa kibalozi na Uingereza 1977. Na kuweka urafiki na Saud Arabia na Libya waliompa mka ndege na wanajeshi kwenye Vita ya kagera. Kwetu huku tuliwaita wazungu makaburu na tulijaribu kuwavutia waarabu Kama Utawala wa Morocco na tukaahidiwa uwanja wa Mpira Dodoma. Sema hatukufanikiwa Sana sababu Sasa nchi za mashariki ni dhaifu Sana kiuchumi.

4. Wote hawakuamini Sana Wanawake. Kuna wakati Idd Amini Dada aliongooza balaza la mawaziri lenye mwanamke moja tu. Huku licha ya kuwa na mwanamke makamu wa Raisi. Na katiba kusisitiza usawa wa kijinsia Kuna wakati katika nafasi za wabunge wa Raisi waliteuliwa Hadi wabunge sita kiume kimakosa kwenye nafasi ya mwanamke. Inabidi mbuge mwingine apewe ubalozi. Na nafasi nyingi wanawake walisua sua.

5. Wote walikuwa wacheshi na wakati mwingine wakali. Wapenzi wa michezo. Idd Amini Dada aliweza kupiga gitaa, kinanda na ngoma vizuri. Na zipo picha za jpm akipiga ngoma.

6. Wote waliamini katika Mungu. Spichi zao nyingi ziliingiza maswala ya Imani. Waliweka urafiki na viongozi wa dini tofauti na dini zao. Idd Amini Dada alikuwa rafiki na askofu Lowum Ambaye baadae walikuja kukosana.

7. Wote kufikia mafanikio hawakutaka saana kufata Sheria. Mfano idd Amini Dada alitaka jambazi akipatina na ushaidi upo wasiisubiri mahaka wamalize uko uko.

8. Wote hawakupenda kukosolewa. Ila kwa wakati ule ilikuwa NI hatari zaidi kumkosoa Amini. Kwani aliamini kuwa ukimkosoa umetumwa na magharibi.

9. Wote hawakuwa na uhusiano mzuri Sana na wafanyabiasha wakubwa. Waliamini NI wezi na wanyinyaji. Mfano Idd Amini Dada aliwapokonya Mali, fedha na kuwafukuza wahindi Uganda. Huku hao watu inasemekana wapo walioporwa na tra fedha kwenye ac na kesi za uhujumu uchumi. Hapo Dada alikuwa muwazi Sana.

Wote waliamini katika ununuzi wa vitu vya garama serikalini. Idi alinunua ndege nyingi na vifaru vya kivita huku raia wake uchumi ukishuka na bongo tulinunua ndege huku watu.

10. Hakuna ushaidi wowote kuwa ata moja wao alikuwa mwizi. Wote hawakuwa na account za fedha nje ya nchi wakiwa madarakani.

11. Sio watu wa diplomasia au democracy in nature.

12. Walipendwa watu wa chini kabisa. Idd Amini Dada alikuwa Raisi wa kwanza duniani aliyeamuru wafanyakazi wa Uganda walipewa mshahara kila rth 23 na kufanikisha Hilo kutoka walipokuwa wanakaa miezi kadhaa bila mishahara.

13. Wote waliongoza kwa mbwembwe. Mfano Kuna mkutano wa adhra Uganda Idd Amini alimteua daktari wa kawaida kuwa mganga mkuu baada ya kutamka mapungufu kwenye hospital.

Kasoro kubwa iliyobadili Taswira ya Idd Amini Dada ni ubabe na kutokukosolewa, mzaha na dharau. Kuamini kilakitu kinaisha kwa nguvu. Mfano Aliivamia Tanzania sababu makundi mengi ya waasi wa Uganda Viongozi wao walikuwa Tanzania akina mseveni Enzi hizo. Hakutumia mbinu za kidiplomasia.

14. Wote walipenda Sana kuonekana kwenye vyombo vya habari. Vikao vyake na mawaziri na kila alichokifanya waliweka kwenye media za nchi yake.
15. Walipenda kusifiwa na kuogopwa. Ile habari ya mkurunjenji Mimi NI mkurunjenji. Iliwakuta wachungaji wa makanisa yaliyopigwa marufuku Uganda. Baada ya idd Amini kuwaita kwa kosa la kuhubiri na wakijua idd Amini ndio Sheria aliwauliza mi NI Nani. Moja wao alijibu. Wewe NI General Idd Amini Dada, fieldmarsho, king, the conquer of British Empire, the only president for life Basi jamaa akacheka akawasamehe.
16. Wote walituhumiwa kuweka watu wa karibu au ndugu sehemu nyeti. Maliyamungu inasemekana alikuwa NI mpwa wake ndie aliyekuwa mkuu wa vikosi vya ulinzi. Huku kelele za mlipaji mkuu na upwa zilikuwepo pia huku kwetu.
17. Wote walipenda kila mwananchi achape Kazi, hawakutaka uvivu au kuwa na mtu tegemezi ktk taifa.

18. Wote waliibuka kutoka familia zenye maisha ya chini Hadi kuwa watawala. Hakuna ndugu au wazazi wao waliojulikana katikauongozi wowote Kama uchifu au uongozi wowote wa juu Kama ulivyo kwa viongozi wengi wa Africa.

19. , wote waliimiza matumizi ya kiswahili. Idd Amini ndie alisisitiza kiswahili kuwa Lugha ya Jeshi la Uganda na hawakuwa wazungumzaji wazuri wa kiingereza. Idd Amin Aliongea kiingereza kwa shida zaidi

Kitu ambacho kilimchafua Idd Amin Kwa watanzania, moja alimtoa madarakani rafiki wa nyerere Obote, Pili Vita ya kagera na tatu Propaganda za wazungu na hasa ile filamu ya kuigiza inayomuhusisha na kila nyama za watu kitu ambacho hakiwezi kusibitishwa Hadi Leo ingawa alitokea jamii yenye Tania hizo. Idd Amini alizidisha chuki dhidi ya wazungu na mbaya zaidi alikalibisha na kuwashika mateka raia wa Israel.

Tofauti kubwa waliokuwa nayo Amini aliingia kijeshi, pia Amini aliingusha Sana sarafu ya Uganda uku Magufuli alijitahidi kuidhibiti.
Hujidai kumpenda Mungu na kuvutia viongozi wa dini lakini ni wauaji
 
Back
Top Bottom