Jinsi navyoteseka moyoni. Nahitaji faraja yenu ndugu zanguni

Jinsi navyoteseka moyoni. Nahitaji faraja yenu ndugu zanguni

Utakula mkuu siyo issue kubwa sana. Chakula kitakuwepo cha kutosha. Hii catering nliyowakodi ndo huwa wanaandaa dhifa za kimataifa pale Ikulu.wapo fresh sana.mimi wamenifanyia plate moja tsh 130,000 sababu jamaa anayeimiliki nliwai msaidia one time alikuja USA akapungukiwa pesa za matumizi.so nlimpa kiasi flani.amekuwa kama ndugu though amenizidi sana umri.alitaka anifanyie bure nlimwambia hapana.kama hela ninazo nitumie tu why nifanye ubahili?
Kiduku Lilo Hapo Home kuna sehem ya kuvutia ganja kwa amani? Wengine kushiba lazima tumalizie na kukumoshi
 
Back
Top Bottom