Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kmmmke kiduku lilo in the m.i.c! We jamaa ni shida sana.Utakula mkuu siyo issue kubwa sana. Chakula kitakuwepo cha kutosha. Hii catering nliyowakodi ndo huwa wanaandaa dhifa za kimataifa pale Ikulu.wapo fresh sana.mimi wamenifanyia plate moja tsh 130,000 sababu jamaa anayeimiliki nliwai msaidia one time alikuja USA akapungukiwa pesa za matumizi so nlimpa kiasi flani.amekuwa kama ndugu though amenizidi sana umri.alitaka anifanyie bure nlimwambia hapana kama hela ninazo nitumie tu why nifanye ubahili?