Jinsi navyoteseka moyoni. Nahitaji faraja yenu ndugu zanguni

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kmmmke kiduku lilo in the m.i.c! We jamaa ni shida sana.
 
Aiseee.
Huyu jamaa katajirika ndani ya mwaka mmoja 2019. Mana wakati anajiunga mwishon mwa 2018 alikuwa masikini wa kujitupa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its ok. You just come on saturday hayo mengine yasikupe shida dada yangu.karibu sana usikose ili uje wasimulia na wengine.waone tofauti ya surviving and living hapa duniani.


[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wanakuzingua na nini Boss
Imeona request yangu ya Shopping Voucher lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…