Jinsi navyoteseka moyoni. Nahitaji faraja yenu ndugu zanguni

inaonekana jfm ni jukwaa la mafukara (pangu pakavu) kwa sababu hawaamini kuwa kuna uwezekano wa mtu wa aina ya kiduku lilo kuwa humu ndio maana kila anachosema jamaa wanampinga, sijui hawaamini kuwa hakuna maisha ya hivyo Tz au kama wanaamini basi watu hao hawawezi kuwa humu kwa sababu humu ni sehemu ya makabwela
 
Mzee akipita hivi, kuna dalili ya kubadili matumizi ya kinyeo
 
Hili nami nmeliona nadhani kuna hujuma au ufahamu wa moderators wengi ni shida

 
Hili nami nmeliona nadhani kuna hujuma au ufahamu wa moderators wengi ni shida
Ila nahic kama wangekusikia kwenye vyombo vya habari kama radio au unafanya interview kwa tv wangekubali ila humu wanaona uongo 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…