Jinsi ndege ya Rais Habyarimana ilivyotungiliwa

We jamaa ni hopeless sana.
Umeandika kidogo tu unasema umechoka sa si bora usingeweka uzi wako huu
 
mtu chake zitto junior JokaKuu Moronight walker wa kupuliza pitieni hapa tafadhali...

Mzimu wa mwaka 1994 huko Rwanda bado unasumbua tu maziwa makuu mpaka kesho na umegoma kutoweka.
 
Michael Hourigan,mwanasheria wa Australia anasema,"Sisi tulikuwa UNO tunashughulika na hili swala, lakini wakubwa wetu kule walikuwa wanatukwamisha.
Baada ya hao majasusi watatu wa RPF kutoa hizo habari,waliungwa mkono na jasusi mwingine wa zamani wa RPF, Jean-Piere Mugabe. Mugabe alisema mauaji na lile kombora yaliongozwa na Kagame na 2i/c wake James Kabarebe.
Jasusi mwingine wa RPF,Christophe Hakizebara,aliwaambia UNO kwamba "taifa la kigeni" lililoisaidia RPF lilikuwa Uganda. Hakizabera alisema mkutano wa kwanza na wa pili wa kufanya mipango ilifanyika Uganda katika miji ya Kabale na Mbarara,wa tatu ulifanyika Machi 2994,Bobo-Dioulassi,Burkina Faso,ambapo Kagame alihudhuria.
Kama kawaida yake,UNI ilipuuzia ushahidi huu uliotolewa.
Uchunguzi wangu,ambao nimefanya kwa miaka minne,unaonyesha haya makombora yalitekwa na Marekani katika Vita ya Desert Storm na yakaletwa na CIA kupitia Cairo,Misri. Uganda ikaweka baadhi, mengine ikawapa SPLA na RPF.
 
Ushahidi mwingine ni ushahidi wa redio: watu wenye radio receivers, wanajeshi au redio za kiraia katika eneo lile walisikia radio ya RPF inatangaza,"Target imepigwa."
Pia alikuwepo mtu wa radio wa Ubelgiji katika eneo lile, ambaye alisema alisikia tangazo kutoka kwenye redio ya PMC ya Kibelgiji ikitangaza,"Tumemuua Le Grand( Habyarimana). PMC ndio wale mamluki waliotajwa.
Pia Mbelgiji huyo anasema baada ya yale mauaji wanajeshi wote wa Rwanda walichanganyikiwa,jambo ambalo lisingeweza kutokea jama wao wenyewe ndio walikuwa wamemuua Rais wao.
Baada ya ajali,black box,kisan duku cheusi kilichukuliwa kikapelekwa New York,UN Hq,,kupitia Nairobi,ambako kipo mpaka leo. Serikali ya Marekani inawakataza UN kutangaza habari zilizomo ndani ya hiyo black box.
Mystere-Falcon,ndio jina la Ile ndege, ilikuwa inakwenda kutua kwenye airport ya Kayibanda, lakini siku Ile jioni shambulizi lilipotokea,RPF walikuwa wanathibiti maeneo mengi kuzunguka airport,na mamluki walioajiriwa na RPFna shirika la ujasusi la Marekani waliitungua Ile ndege. CIA imetajwatajwa sana UN ilipokuwa inafanya uchunguzi wa hii ajali .
Msako wa wauaji uliwapeleka wachunguzi wa UN mpaka kwenye warehouse ( godown) pale Kayibanda airport ambapo wale mamluki waliweka missile launcher zao. Ilikuwa ni warehouse inamilikiwa na kampuni ya KiSwiss. Wachunguzi wa UN walipokaribia kufikia uamuzi wao wa mwisho na kukabidhi ushahidi wao,hii kampuni ikamaliza mkataba wake upesi.
 
Inaelekea kwamba Marekani imehusika sana katika mauaji ya halaiki ya Rwanda lakini wao wenyewe wanapinga. Pia Marekani wakaendelea kushirikiana na Rwanda na Uganda katika uvamizi wa Congo
Halafu sasa hivi alipouawa Laurent-Desire Kabila Rwanda wanashukiwa kuhusika wakisaidiwa na CIA.
CIA wanashukiwa kumuua Kabila,kwa sababu hata ukitazama tarehe aliyouawa Kabila ni miaka arobaini kamili baada ya kifo cha Lumumba. Lumumba aliuawa Jan 17,1961. Kabila aliuawa Jan 16,2001.
Halafu ghafla mtoto wake , Joseph Kabila akatangazwa kuwa Rais,halafu ghafla akaenda Marekani kuonana na mabepari. Inatoa mashaka sana.
Halafu ilikuwepo memo ya CIA ,miezi michache kabla ya mauaji ya halaiki kutokea Rwanda iliyokuwa inasema,kama,kwa mfano, Habyarimana akiuawa,yatatokea mauaji ya watu wasiopungua 500 na wasiozidi 500,000.
 
Kuna sababu za kuamini kwamba watu kadhaa waliokuwa wanazifahamu njama za Kagame waliuawa. Kwa mfano Mkuu wa zamani wa TISS Major General Imran Kombe ambaye alipigwa risasi na polisi kwa kufikiriwa kwamba yeye ni mwizi fulani sugu wa magari. Kombe alikuwa anafahamu siyo tu njama ya kuwaua Marais wa Rwanda na Burundi, lakini pia alikuwa anafahamu njama za kumuua Moi,Rais wa Kenya na Rais Mobutu .
Sasa,kwa nini Habyarimana akiuawa? Kwa sababu alikuwa kibaraka,alikuwa rafiki wa France na Belgium. Hii ripoti ya huyu kachero inaishia hapa.
Ripoti nzuri ya kijasusi, lakini from my point of view,I see things a bit differently. Ile vita, Laurent Kabila alipokelewa vema na WaCongomani. It was mostly a March to Kinshasa.
Wale watu walikuja Dar kuongea na Mwalimu Nyerere, wakamwambia,Kama unavyoona kwenye vyombo vya habari,Tumeamua kumwondoa Mobutu. I was there. Wakaongea na Mwalimu for some time,halafu wakasimama kumuaga na kuondoka. Wakamwambia Mwalimu,"Mwalimu tutakupa briefing tena na tena kuhusu kampeni yetu." Mwalimu akasema,"Ah. That will be fine. Kwa sababu itamaanisha kwamba nimi ndio nitakuwa...nitakuwa", Mwalimu alikuwa nadhani anataka kusema,"Mimi ndio nitakuwa Mastermind"
Indeed Mwalimu ndie aliyepangiwa kuiongoza Ile vita, lakini hawakumwambia. Wale wafadhili wa Kabila, hao watu waliowatuma Kagame na Museveni waiteke Zaire walitaka Mwalimu Nyerere ashirikishwe.
Kwa hiyo Mobutu akaondolewa. Wakafanya mkutano mwisho wa vita. Mobutu akafika ( in a wheelchair). Mambo yalimalizika kistaarabu.
Kabila alichaguliwa kuyaongoza yale Mapinduzi kwa sababu alikuwa part of what they called the "Nyerere Kindergarten." Nyerere Kindergarten ndilo wale Wazungu walivyokuwa wanawaita wanasiasa wote wa eneo hili ambao walikuwa influenced na Nyerere.
Kwa hiyo wakaona ni bora wamshirikishe,the man from Edinburgh,no doubt kwa sababu walikuwa wanataka kuzuia watu wengine 800,000 wasiuawe.
 
Kagame na congo ugomvi wao upo hapa na wacongo wamesha mchoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa hata motoni hato kaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M7 naye mshenzi ndio maana wanatunishiana vifua tu na kutumiana EBOLA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…