TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Ma dracullarUshahidi mwingine ni ushahidi wa redio: watu wenye radio receivers, wanajeshi au redio za kiraia katika eneo lile walisikia radio ya RPF inatangaza,"Target imepigwa."
Pia alikuwepo mtu wa radio wa Ubelgiji katika eneo lile, ambaye alisema alisikia tangazo kutoka kwenye redio ya PMC ya Kibelgiji ikitangaza,"Tumemuua Le Grand( Habyarimana). PMC ndio wale mamluki waliotajwa.
Pia Mbelgiji huyo anasema baada ya yale mauaji wanajeshi wote wa Rwanda walichanganyikiwa,jambo ambalo lisingeweza kutokea jama wao wenyewe ndio walikuwa wamemuua Rais wao.
Baada ya ajali,black box,kisan duku cheusi kilichukuliwa kikapelekwa New York,UN Hq,,kupitia Nairobi,ambako kipo mpaka leo. Serikali ya Marekani inawakataza UN kutangaza habari zilizomo ndani ya hiyo black box.
Mystere-Falcon,ndio jina la Ile ndege, ilikuwa inakwenda kutua kwenye airport ya Kayibanda, lakini siku Ile jioni shambulizi lilipotokea,RPF walikuwa wanathibiti maeneo mengi kuzunguka airport,na mamluki walioajiriwa na RPFna shirika la ujasusi la Marekani waliitungua Ile ndege. CIA imetajwatajwa sana UN ilipokuwa inafanya uchunguzi wa hii ajali .
Msako wa wauaji uliwapeleka wachunguzi wa UN mpaka kwenye warehouse ( godown) pale Kayibanda airport ambapo wale mamluki waliweka missile launcher zao. Ilikuwa ni warehouse inamilikiwa na kampuni ya KiSwiss. Wachunguzi wa UN walipokaribia kufikia uamuzi wao wa mwisho na kukabidhi ushahidi wao,hii kampuni ikamaliza mkataba wake upesi.
Sent using Jamii Forums mobile app