Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Watu humu wengi sio wafuatiliajo wa mambo halafu kujikuta ujuaji. Aliyeanza kuongea ni MABESTE aanzae mmalize. Yeye kaanza kumkandia ex wife maneno kibao ofcourse hata mimi nilikua upande wake. Kuja kumsikiliza lisa nikabaki OMG najuta.

Mabeste livivu linakaa tu kutegemea mwanamke atafute. Mwanaume yuko radhi afanye kazi za nyumban ashinde na watoto lakini asitoke nje kutafuta. Huyo ni mke au mume?

Kumsaidia kipindi anaumwa sio justification ya kumnyanyasa. Kila mtu kuna mtu amemsaidia maishani mwake lakini maisha yameendelea. Dume vivu mfyuuuu. Huyo lisa alijua kumvumilia dume suruali.
 
Anatakiwa abadilishe ukubwa wa jina lake kwenda kwenye kipato.

Otherwise ataendelea kulalamika kunyanganywa wanawake.
Hata uwe tajiri wa namna gani watu tukiamua kumchukua mkeo tunamchukua tu, watu wanaodhani mapenzi ni pesa nawaonaga malofa sana.
.
Nakupa mifano hai Jux hana pesa za kuwa na Vanessa hana pesa za kumlidhisha Vanessa ila ulishawahi kujiuliza kwanini alikuwa nae?
Money ain't talk in love dude kinachozungumza ni u smartness and sharpness zako.
.
Anyway let's assume unapesa nyingi uko na mtoto mkali kama Mimi Mars unamuhudumia kila kitu, huko kitandani uko vizuri unfortunately anatokea gentleman tu hana pesa nyingi kama wewe ila ni smart kichwani anajua kuishi na malaya na anajua kuishi na mlokole unadhani atamkosa mkeo?
 
Maisha ya wawili hao yalikuwa maarufu zaidi kupitia mtandao wa instagram ambapo watu wengi zaidi pasi kujua nyuma ya pazia ya maisha yao walikuwa wakifurahia familia yao na kutamani kuwa kama wao.

Kuna la kujifunza hapa kwenye hii habari; MAISHA YA INSTA YAKO TOFAUTI SANA NA MAISHA HALISI. WAKATI WATU WANASTAILI KUONEWA HURUMA, WEWE UNATAMANI MAISHA YAO!
 
That's it.
 
Watu humu wengi sio wafuatiliajo wa mambo halafu kujikuta ujuaji.
Ungeeleza hatufuatilii kipi ingekuwa vyema zaidi.

Aliyeanza kuongea ni MABESTE aanzae mmalize. Yeye kaanza kumkandia ex wife maneno kibao ofcourse hata mimi nilikua upande wake. Kuja kumsikiliza lisa nikabaki OMG najuta.
Question is alizungumza radio gani au ndio kwenye maujinga ya vi YouTube channels vya kishamba hivi ambavyo siwezi hata kuviongezea views?
CMG walifuata January 14 yani juzi

Mabeste livivu linakaa tu kutegemea mwanamke atafute.
Hili mimi ndilo nalolikataa hata marehemu Pancho akifufuka atakufumua makofi au Hermy B akisoma hili anaweza aka lost in words mapema sanaa.

Mwanaume yuko radhi afanye kazi za nyumban ashinde na watoto lakini asitoke nje kutafuta. Huyo ni mke au mume?
Mabeste aliwahi kuimba katika ngoma yake ya Headache "altitude yako ndo itastop altitude zao"

Kumsaidia kipindi anaumwa sio justification ya kumnyanyasa. Kila mtu kuna mtu amemsaidia maishani mwake lakini maisha yameendelea. Dume vivu mfyuuuu. Huyo lisa alijua kumvumilia dume suruali.
Wewe umemsaidia nani kwenye maisha yako isitoshe hujawahi kuuguza mtu aliyekaribia kifo na akapona ndio maana huelewi haya, na hapa ndo yanapokujaga majibu ya kishamba eti "kusaidia kwangu hadi ujue wewe" pumbaaavu
.
That chick need to be controlled by her mother otherwise kataumia
 
Ndio kasema hivyo? Na hiyo miezi 3 imekaaje? Univumilie, interview nitaisikiliza nikishawishika na maelezo uliyoyaleta maana tayari umeshaamua kuwa wakili wa Lisa.
Yan mim niliposikia kua Lisa analalamika kuwa jamaa hatimizi majukumu yake nimeamin kabisa.

Maana wanaume wengi tunapopendwa sana huo ujinga huwa unakuja hasa sisi ambao mshipa wa wivu ulishaga katika.
 
Hata mimi nilipenda uwepo wa ndoa yao... Ilipelekea nikaumia sana kipindi huyu dada anaumwa na inatakiwa msaad ili apate tiba.
Wanandoa tunakosea sana kutoleana kashfa pale tunapotengana... Watoto wetu wanatuchora kama wazazi wa hovyo sana.
Aliyeanza na anayemaliza wote wamekosea..
 
Sasa kama hutaki kuongeza views huko utapataje taarifa? Au ndio unavizia taarifa nusu nusu ambazo zinaletwa kama hivi.
Halafu issue ya marehemu pancho hata lisa ameongelea kua mabeste alikua anataka afanye kazi na pancho tu hataki kwenda kwa wengine. Mchagia jembe si mkulima.
Madaktari wanatusaidia sana mahosptalini mbona hatuwalipii vile hutufanyia.
Wewe seems unamjua sana mabeste. Haya tuambie kwanini mabeste hapatani na ndugu zake? Kwanini livivu?
 
Wewe chenga sana. Hawa watu nawafahamu a to z hadi wazazi wa mabesite. Huyu mwanamke ni muongo kuliko shetani hadi anasema alipigwa ngumi na baba wa mabesite? Alilazimisha ndoa huku jamaa alikua hana utayari
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Livivu hii ni offensive word iondoe chuki zako peleka leba.
.
Mchagua jembe si mkulima ni uzamani ingelikuwa hivyo tuzingechagua waks wazuri wakuoa tungeparamia majanamke yoyote tu.
.
Pancho alikuwa chini ya Hermy B kwenys studio zinazoitwa B-hits
Mabeste kafanya kazi na makochali ngoma kibao tu hizo story apelekee wagonjwa wenzake maana kale sio kazima.
.
Siongezi views kwenye vichanel uchwara mimi nimeitazama clip nikujuapo.
Mabeste alikuwa hapatani na ndugu zake kwa sababu ha hako ka mwanamke ndio maana hata kalipougua ni kama walimtupa.
Angalau kamekwenda nyota ya Mabeste itang'ara tena
 
Sasa unakuta mtu hana kazi anashinda nyumbani lkn mwanamke akitoka kazini anaanza Adi kumtolea kikombe alichonywea chai asubuhi kwann malalamiko yasiwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitoaje Wazo Wakati alikua Kitandani hajitambui, kwa maana hiyo Walikua Wanatuigizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…