Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Mimi nimuumini wa hiyo falsafa yako ..Lakini vijana wengi sana wana jifanya ni vi-bo....dinda so acha Yawa kute hayo
Kuna faida gani sasa ya kuwa na mwanamke kama anakujudge kwa kiasi cha pesa ulicho nacho. Cha msingi si ni kutafuta pesa.... Then unakata mti na kupanda mti..... Yanini kukaa na mtu anaetaka kutumia chako ila hayupo tayari kuwa na wewe unapokuwa mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mabeste gia ya nitoke vipi imekutoa vyema. Basi wacha tuone nyota yako iking'aaa. Shine bright like a diamond
Livivu hii ni offensive word iondoe chuki zako peleka leba.
.
Mchagua jembe si mkulima ni uzamani ingelikuwa hivyo tuzingechagua waks wazuri wakuoa tungeparamia majanamke yoyote tu.
.
Pancho alikuwa chini ya Hermy B kwenys studio zinazoitwa B-hits
Mabeste kafanya kazi na makochali ngoma kibao tu hizo story apelekee wagonjwa wenzake maana kale sio kazima.
.
Siongezi views kwenye vichanel uchwara mimi nimeitazama clip nikujuapo.
Mabeste alikuwa hapatani na ndugu zake kwa sababu ha hako ka mwanamke ndio maana hata kalipougua ni kama walimtupa.
Angalau kamekwenda nyota ya Mabeste itang'ara tena
 
Yaani kama kweli kaenda kuishi na rafiki wa ma-beste basi huyo mwanamke hamna kitu

Mimi Kuna content nilisema kwamba Huyo mwanamke alimpenda ma-beste kwa sababu ya status Yake na sio vinginevyo .....now ma-beste ka-flop hawezi kuona tena thamani Yake ..cause kile kilicho mfanya avutiwe na ma-beste hakipo tena
Tumia akili kaka huyo demu nae ni shida, sasa baada ya haya yote kisa cha yeye kumuacha mshikaji ni nini? Na kwa nn kaenda kuishi na mshikaji wake na mabeste?

Mabeste yupo sahihi kaachwa sababu hana hela mwanamke kauchoka umaskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yule boss wa uhuru 1,si alikuwa na mpunga lkn bado mke akazinguaa
Tatizo Hawa wenzetu wa dhaifu sana na wanasahau mapema

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wana sifa ya kutotambua wanacho kitaka..... Though Huwa nawashangaa sana watu wenye pesa ...Yaani Nina pesa zangu halafu nioe ili iweje !!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo ya masikini katika ndoa kuhusu masuala ya uchumi ni mengi kuliko matajiri

Ndoa za matajiri zinaweza kuwa na migogoro Sikatai but who knows ...huwenda ikawa hiyo migogoro inachangiwa na Ego ya mwanaume Dhidi ya mwanamke ..kuto muheshimu mkewe na kutoka na wanawake Tofauti tofauti bila kujali heshima ya mkewe " so unadhani hapo mwanamke atakaa tu ndani ya ndoa kisa mwanaume ana pesa ?!!
hapana mbona hata matajiri ndoa zao zina migogoro

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kama kweli kaenda kuishi na rafiki wa ma-beste basi huyo mwanamke hamna kitu

Mimi Kuna content nilisema kwamba Huyo mwanamke alimpenda ma-beste kwa sababu ya status Yake na sio vinginevyo .....now ma-beste ka-flop hawezi kuona tena thamani Yake ..cause kile kilicho mfanya avutiwe na ma-beste hakipo tena

Sent using Jamii Forums mobile app

I advise you kama una nafasi zisikilize hizo interview.

Hilo la kwamba jamaa alikuwa rafiki wa jamaa pia siyo, limezungumziwa.
 
Naam ....hapo kwenye paragraph ya mwisho sahihi kabisa
Hivi kuna mtu mbaya duniani kama yule anayefanya hata mazuri uliyoyafanya kuonekana kama ilikuwa ni nguvu zake binafsi !!!..

Lisa kafanya kulipiza ili amchoreshe mabeste kama ni GOOD FOR NOTHING hata kwa ile kampeni ya ugonjwa wake. That's totally bad

Mabeste kamuhangaikia sana regardless yeye ndiye aliyetoa wazo kama anavyosema maana mwisho wa siku ni jitihada na jina la mabeste ndo lilileta pesa. Sio IDEA

Either ways Kuna cha kujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mabeste gia ya nitoke vipi imekutoa vyema. Basi wacha tuone nyota yako iking'aaa. Shine bright like a diamond
Tulishaimba.
.
sirudi teee..
na locality hii syllabus
bora peke yangu zaidi ya
yule mama abas
wapi safe place progress
mitikasi no stress
confidence money power,
heavy influence
mi sirudi tena nikirudi ni
accident
exchange rafiki job ni
evidence
kwangu holiday
niko na ghafi na boogie
dance
nipo kwa away place na
ndugu wengine sense
mi sirudi..
nikikumbuka nilikuwa benchi
kwenye mechi
nani na messi kilaga sio
pancha
mpaka mapeche
flow ndani ya flow naziwekea
ma dress
niko interested zaidi ya
ku'copy tu na ku'paste
na bado pia ikawa ngumu ku
understand mi
and by the way ah, hili game
liko under mi
mi sirudi tena unifate maybe
ndo reality
ni mipango tu mki stand kama
boss usije uka panic!
sipotezi masaa, nakimbiza
chapaa
kwenye dhiki mi sirudi.
.
Yani ndo tushatoka huko sahau
 
Watu humu wengi sio wafuatiliajo wa mambo halafu kujikuta ujuaji. Aliyeanza kuongea ni MABESTE aanzae mmalize. Yeye kaanza kumkandia ex wife maneno kibao ofcourse hata mimi nilikua upande wake. Kuja kumsikiliza lisa nikabaki OMG najuta.

Mabeste livivu linakaa tu kutegemea mwanamke atafute. Mwanaume yuko radhi afanye kazi za nyumban ashinde na watoto lakini asitoke nje kutafuta. Huyo ni mke au mume?

Kumsaidia kipindi anaumwa sio justification ya kumnyanyasa. Kila mtu kuna mtu amemsaidia maishani mwake lakini maisha yameendelea. Dume vivu mfyuuuu. Huyo lisa alijua kumvumilia dume suruali.
We unauhakika kwamba Lisa yupo sahihi na maneno yake ni ya kweli? eti alikuwa ananyanyaswa na mabeste
 
Mabeste alikuwa Marioo.

Kazi hafanyi, muziki hafanyi. Yuko Busy na media tu na neno 'Nakupeoda, Nakupenda'

Does the word Nakupenda pay bills ?

Hivi Mabeste huwa ni mchagga ?

Miaka ya karibuni vijana wa kichagga wamekuwa ma-marioo wa kutosha.

Wengine wanaolewa Ulaya wengine Bongo !

Daaah
Hahaaa ndgu zao wamekua marioo sugu,anataka kuishi bila kutafuta yani atafutiwe,mwishoni ni kufumuliwa marinda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam nikweli ...Mimi nilikuwahga karibu sana na Mona gangster Ma-beste alikuwaga anakuja pale classic sound na shetta pamoja na marehemu Pancho .... So najua kiasi baadhi ya story zao zinazo husu maisha yao ... So unachokisema ni kweli Huyo binti alijitoa sana kwa ma-beste .... Ma-beste ni msanii mwenye kipaji sana '' Lakini tatizo Hana kiu ya kutafuta mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana wewe ndio unamjua vilivyo,kama mtu hatafuti huyo ni marioo sugu,mwisho wa siku utatafuniwa mkeo uanze kulalamika kua wife sio muaminifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom