Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Aisee ..ana elements za kishetani kama Ni hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unakuta ramani zimekataa unaamka huna pa kwenda ila hizo lawama, unaambiwa unashinda ndani tu unaangalia tv.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enyi wanaume ukiona huna vitu vifuatavyo USIOE,
Akili
Nguvu za kiume
Uwezo wa kujikimu mkeo(uchumi wa kueleweka)

Utii wa mkeo upo kwenye vitu hivyo hapo juu kikipungua kimoja utadharauliwa na utalia machozi,,

Naona mnalaumu mwanamke hivi mwanamke vile ikumbukeni ile laana mtakula kwa jasho sasa we kaa ndani uliogope jasho heshima watapewa wanaume wenzio

Mwanamke laana yake ni kuzaa kwa uchungu sasa mkeo akitimiza hili ila wewe ukashindwa kula kwa jasho haustahili kupata utii wowote
 

Umeolewa dada? Au unaongea kwa matamanio tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukaoa ukiwa Timamu,Nguvu za nyati pamoja na uwezo mkubwa kifedha ila baada ya muda yote hayo yakapotea labda kwa magonjwa na mahangaiko ya maisha..

Muhimu kuheshimu kiapo kuwa mtakuwa wote kwenye shida na raha!! Mpka pale kifo kitakapowatenganisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake tu ndo wataelewa uhalisia wa hivyo vitu hatukuumbiwa kula kwa jasho,, sitaki kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa

Ukiugua hapo itategemea hekima na uvumilivu wa mkeo,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…