Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Na toka lini mwarabu akaitwa Karl Fickencher sijui[emoji134][emoji134][emoji849]Mama yake sio mchagga bwana ni mtu wa Singida, mbona unatuuzia mbuzi kwenye kiroba?!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani umegonga mule mule... Nawashangaa sana wanaume wanaosema eti nioe mwanamke mwenye kazi tusaidiane majukumu... Kujitakia matusi ya rejareja tuu.
Nilicomment bila kutazama interview, nimetazama na nafuta baadhi ya kauli zangu. Nimemuamini Lisa kwa 85% maana jinsi anavyozungumza kwa uchungu na jinsi anavyo flow matukio inaelekea kaumia sana.
Kwa kauli zako hizi utazeeka huku ukiwa na msururu wa mabwana ulio lala naoWanawake tu ndo wataelewa uhalisia wa hivyo vitu hatukuumbiwa kula kwa jasho,, sitaki kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Ukiugua hapo itategemea hekima na uvumilivu wa mkeo,,
Pengine alipanga Kweli, kule kujilegeza ilikuwa kuzuga au kukuza mamboNdio ushangae hadi FNL walikwenda pamoja kutoa shukrani.
Mgonjwa mahututi eti apange mipango zote hizo yani unafumua ngumi hadi waliorekodi huu ujinga.
Wanawake hawajulikani wana taka niniWanawake ni viumbe wa ajabu kweli, ukiwa na hela atatamani ushinde ndani muda wote hata nje usitoke, ukiwa huna sasa hataki kukuona hapo ndani, hata ukilala nje anaona sawa tu.
Take time, msikilize huyo dada.
Anyday nitakuwa upande wake.
Hiyo issue ya kwamba Mabeste alihangaika kumsaidia kuraise funds za matibabu kaiongelea vizuri pia.
😂😂😂😂😂Wewe ndiye Mama Kendrick hadi unasema hivyo?
Mama D wote naowajua huwa wana akili wewe sijui umetoka wapi
Yaani ukiona haya mambo yanakatisha tamaa kabisa,mwanaume katijoa vya kutosha anakuja kuachwa na kutafutiwa visababu uchwaraHakuna point aloongea zaidi ya kutaja pesa pesa huyu dada kamuonea mabeste
Mabeste kamuuguza miaka sita alitaka afanye mziki saa ngapi?atafute pesa saa ngapi huku alimuuguza kaka watu akajitoa kuliko mtu yeyote,Anaongea upuuzi tu hatujaona hata sehemu akisema mabeste kachepuka ,mabeste alipika akafua akamuuguza miaka kibao nani angeweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Una moyo utafikiri wewe ndio Lisa au kaka/Dada/Ndugu wa LissaNawaelewa sana.
Alikuwa ameamua kukaa kimya, mwanaume ndo kaanza kupiga kelele.
Nachomlaumu Mabeste ni swala la yeye kuanza kupiga kelele, nafikiri ni ile arudi kwenye midomo ya watu.
Nlikua nsicomment Tena Ila kwa upuuzi ulioandika hapa ..dah umeonyesha jinsi gan ulivyo empty kichwani Yan umesikiliza interview tayar ushamuamini dah hatar
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, unaweza kuona ni kwa kiasi gani wakati mwingine tunahukumu bila kusikiliza.
Hapo utapata taabu kuwaelezea[emoji23][emoji23],watu hawajasikiliza interview uyo dada alikuwa mvumilivu kupitiliza had kaamua kujitolea mahari ya uongo uongo,
Na vyote kaongea hata tamasha idea ametoa yeye na uzuri ana ushahid Na watu kawataja,
*Nguo za harus wamepewa bure,
*had pakukaa walimuomba shish Na mengineyo,
* mwaka Jana muuza mapazia alimpost insta kakopa hajalipa ni waz maisha yaliwashinda,
Wanawake wavumilivu sana ila akichoka anashindwa kujizuia kuficha mambo yako ya kijinga hasa pale unapojikuta haujakosea,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sija la kijerumani Hilo au ki austriaNa toka lini mwarabu akaitwa Karl Fickencher sijui[emoji134][emoji134][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo neno....Hakuna point aloongea zaidi ya kutaja pesa pesa huyu dada kamuonea mabeste
Mabeste kamuuguza miaka sita alitaka afanye mziki saa ngapi?atafute pesa saa ngapi huku alimuuguza kaka watu akajitoa kuliko mtu yeyote,Anaongea upuuzi tu hatujaona hata sehemu akisema mabeste kachepuka ,mabeste alipika akafua akamuuguza miaka kibao nani angeweza
Sent using Jamii Forums mobile app