Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kabisa nimemuelewaAisee, unaweza kuona ni kwa kiasi gani wakati mwingine tunahukumu bila kusikiliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa nimemuelewaAisee, unaweza kuona ni kwa kiasi gani wakati mwingine tunahukumu bila kusikiliza.
Utaoa Tu!!Nyie kwani mna maana... Ukishatumia vijisenti vyako maneno kibao... Aku mie hizo stress sitaki bora niendelee kuwagegeda nikiwa na hela na tunaachana baada ya mgegedano... Mambo yakukaa pamoja ni maudhi tuu.
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanaume mwenzangu kaa ukielewa hili siku zote kua "Fedha ya mwanamke imefungwa Sabufa" ni lazima itaongea tu kwa namna yoyote ile!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapo mtakuwa mnakula nini ?
Hahahaha sasa utajijuaje kuwa huna akiliEnyi wanaume ukiona huna vitu vifuatavyo USIOE,
Akili
Nguvu za kiume
Uwezo wa kujikimu mkeo(uchumi wa kueleweka)
Utii wa mkeo upo kwenye vitu hivyo hapo juu kikipungua kimoja utadharauliwa na utalia machozi,,
Naona mnalaumu mwanamke hivi mwanamke vile ikumbukeni ile laana mtakula kwa jasho sasa we kaa ndani uliogope jasho heshima watapewa wanaume wenzio
Mwanamke laana yake ni kuzaa kwa uchungu sasa mkeo akitimiza hili ila wewe ukashindwa kula kwa jasho haustahili kupata utii wowote
Mwanamke mzuri vile awez kuish bila kusaidiwa ila akumbuke tu kipindi anaumwa mabeste ndio alipambana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasikilizeni interview hiyo, acheni kufanya judgement kabla hamjasikiliza kesi.
Rapper mkali ila ameshindwa kuwa baba kwa familia yake
Akili ya kuishi na mwanamke
Rapper hajui ugali unakotoka miaka7 ila anafunga tuu fresh.. hatariiii
Hahahahahaaaaa so umeacha?Halafu huyu dada nilikuwa namuheshimu sana..
Na wanaomtetea wazungumze juu ya hilo pia...Kweli mkuu Wanawake uwa hawana uvumilivu, Kibaya Zaidi aliyemchukua huyu Demu ni rafiki Mabeste
Nawe umeingizwa kwenye jumba la sanaa.Nilicomment bila kutazama interview, nimetazama na nafuta baadhi ya kauli zangu. Nimemuamini Lisa kwa 85% maana jinsi anavyozungumza kwa uchungu na jinsi anavyo flow matukio inaelekea kaumia sana.
ukiwa na moyo mpana sana unaweza kufa kwa preshaKuishi na mtu mzima mwenye akili timamu inahitaji moyo mpana sana.
Sent using Jamii Forums mobile app