Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Wanaume tujaribu kuwaelewa maneno yao wengi ni waongeaji wazuri sana
Mwanamke akisema mwaname sio mchakalikaji au haumjali basi ujue kaona huna hela au umeishiwa

Wanawake kuna maisha huwa wanatamani kuyaishi ambayo ni ya juu sana sina hakika kama mabeste alikosa pesa ya kula au kulipa kodi

Mbona kipindi chote wanaishi sijawahi kusikia huyo lisa anakazi yoyote kwa mana hiyo basi mabeste ndo alikuwa anahudumia familia

Nachokiona mimi huyo lisa kuna maisha alikuwa anatamani kuyaishi kiufupi ameingiwa na tamaa kutokana na story yao sina hakika sana kama walikuwa wanaishi maisha magumu najua kabisa walikuwa wanaishi wanaishi maisha kawaida tu kama watanzania wengine kitu ambacho yeye hakupenda

mwanamke akishaona hauna pesa huwa wanatabia ya kuonesha dharau
 
Huyu dada mnamsimanga sana ila ni mtafutaji sana. Sitasahau nakumbuka kipindi katlyn ana miez sijui mi3 ile dada wawatu alikua anapiga nae trip za mbugani huko. Mwenyewe. Mumewe alikuwa wapi mdada anachakarika na kichanga mradi kutafuta pesa.

Give her some RESPECT. Inawezekana hujui anachofanya ila haikuruhusu kusema sio mtafutaji that woman ni mpambanaji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happy New Year
 
pesa pesa pesa,
nakusaka kwa uchungu mno popote ulipo ili kesho niwe naheshima kuu kwa hawa viumbe wasio na shukrani
 
Tafuta hela wewe. Acha kulia-lia kwenye media hao wanakuchora tu. Mwanamke anataka matunzo.,ameanza Shamsa, Stamina, Mabesto bado Pilipili
 
H
Labda nikuambie kitu kimoja tuu mtoa maada, mwanamke akihudumia familia mwezi mmoja tuu basi mtaa mzima watajua
Hapo kwenye maada anasema alihudumia familia miezi 2 , sasa kipindi cha maisha yao yote nani alikua analipa bills?
Ndoa zinachangamoto hiyo iko wazi lakini wanawake wengi wako hivyo...
Hata kipindi nakua mzee wangu anaweza kutuma hela kwa bi Mkubwa ili akupatie, basi akikupatia anaanza kusema mi nawasomesha kwa pesa yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kwel yaan wanawake wana mikwara wanapenda kujjmwambafai
 
Kosa kubwa alilofanya Mabeste ni kwenda kwenye media kuongelea matatizo yake ya ndoa na mke wake

Wanaume wengi wanapata matatizo kama hayo kufaulu hili ni kukaa kimya(usiende kwenye media/social network kuongelea mambo yako,huwa namkubali jinsi Sugu alivyo-handle issue yake na Faiza
 
Labda nikuambie kitu kimoja tuu mtoa maada, mwanamke akihudumia familia mwezi mmoja tuu basi mtaa mzima watajua [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]FULL STOP [emoji123][emoji109][emoji120][emoji625][emoji419]

Jr[emoji769]
Kama hadi wewe unajibu hivi basi jf imekua ya hovyohovyo. Hebu kapoteze muda kucheki interview ya mabeste maana ndo alianza kulia lia kwenye media then kacheki majibu ya binti. Utagundua jambo. Wanawake tuna shida zetu lakini kwa hili huyu dada alivumilia kupita kiwango binafsi siwezi
 
Kama vipi na yeye Mabeste atafute bwana atoe ngoma droo na mkewe
 
Back
Top Bottom