Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Enyi wanaume ukiona huna vitu vifuatavyo USIOE,
Akili
Nguvu za kiume
Uwezo wa kujikimu mkeo(uchumi wa kueleweka)

Utii wa mkeo upo kwenye vitu hivyo hapo juu kikipungua kimoja utadharauliwa na utalia machozi,,

Naona mnalaumu mwanamke hivi mwanamke vile ikumbukeni ile laana mtakula kwa jasho sasa we kaa ndani uliogope jasho heshima watapewa wanaume wenzio

Mwanamke laana yake ni kuzaa kwa uchungu sasa mkeo akitimiza hili ila wewe ukashindwa kula kwa jasho haustahili kupata utii wowote
Hahahaha sasa utajijuaje kuwa huna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeste ana mapungufu yake, ila yule mwanamke sio Malaika.

Kitendo cha kuchukuliwa tu na Rafiki yake Mabeste kimemtia doa.

Sisi wastaarabu tunasema ushemeji haufi.

Na swala la kuongelea ushirikina tu, nimemuoana wa ajabu sana.
 
Lisa ni Jini, inaonesha ndugu wa mabeste walilitambua tangu awali

Mabeste hakujua.
 
Mwanamke kama huna hela atakukosea heshima na kukudharau na ukimpigaa atasema unamnyanyasa ila ukiwa na hela Ukimpigaa ataona makosa yake na kujirekebishaaa...PESAAAAAA NDO CHANZO CHA MAMBO YOTE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom