Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Nimesikiliza pande zote mbili kwa makini.

Nilichokuja kugundua ni kuwa huyo mwanamke hakuwa type ya mabeste.

Ndio maana hata familia ya mchizi haikumkubali. Wengi mtabisha lakini hakuna mzazi anayetaka kuona mwanae akiangamia. Trust me.

Hivyo kosa lilifanyika tangu mwanzoni. Hayo mengineyo ni by product ya aftermath (ndoa).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungeeleza zaidi n kwa nn sio type ya mabeste ..au una maanisha labda demu anapenda maisha ya gharama Sana ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia Interview zote za Lisa, na nimeangalia pia interview zote za Mabeste. Mabeste ana makosa yake na pia huyo Lisa ana makosa yake. Na pia Lisa amejaribu kuficha ukweli kwanini familia ya Mabeste haikumtaka. Huwezi tu ukachukiwa from nowhere. Ana play victim zaidi. NA kwa upande wa Mabeste naye ameshindwa kusimamia majukumu yake vizuri kama baba wa familia, ndo maana mke akaanza kumuonyesha dharau.
 
Moja ya sababu za sisi wamakonde mwanaume kupitia jandoni ni kumuweka tayari kwa majukumu ya kulea familia yake pamoja na kuwa na kifua cha kuhifadhi mambo nyeti ya familia yake.....namdharau sana mwanaume anayeenda kwenye media au hadharani na kuanza kuongelea matatizo ya ndoa yake,NAMDHARAU SANA.
 
mimi ndio mana vianamke vipenda smart phone sanaaa siwezi OA

nikikutana na kanjiwa kakaanza niambia

insta natumia "cute embe"
Fb natumia "cute papai"
Snap natumia "cute parachichi"
Twitter,nk nk kote akanitajia Akaunti

Huwa kimoyo moyo nakua tayari nishamtia X hafai hivi ndio vi recorder kwenye ndoa.
 
Mabeste na Lisa tayari wana mtoto so tuwaache maana watu wanaoachana

wakiwa tayari wamepata mtoto kurudiana inawezekana anytime hata kama ni uzeeni
 
ka lisa ni kadem kapenda mteremko mabeste ni mwanaume mpenda kazi laini za pesa nyingi

sasa wamekutana huyu anamvizia mwenzake na kule mabeste nae anavizia kazi laini ambapo kila day

akawa hazipati matokeo akawa anakaa hapati pesa ya kuweka heshima home kama baba.

ka lisa kamesoma upepo kameona hapa hapaendeki,kakajumlisha na vikasoro vya mabeste ambavyo kila

mwanadamu anavyo ka dada ka watu kaka finalize kuwa "hapa nibwage nyanga tu" hamna jipya.
 
Niko upande wa mabeste sababu nimeona kwenye media alivyokuwa akipambana kwa hali ili mkewe apone

Mabeste alionyesha uanaume kwa kupambana hata kama hana pesa ila alionyesha msaada mkubwa wa hali kwa mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
watu wanachukulia poa sana mtu kujianika public kuomba msaada

atoke tu mtu mmoja aende akatege pale barabarani aigize omba omba just for a day

halafu atege njia ambayo kila ataepita atamjua huyu ni flani,halafu aone jinsi ilivyo.

Lisa sijamsikiliza,simsikilizi na sitaki kumsikiliza ila tayari nina picha ya alichoongea.
 
Unamjudge mtu pasi na kumsikiliza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume kutafuta pesa ni wajibu wenu ila nataka tu mtambue

katika makosa hutakiwi yafanya ni kuoa mwanamke wa hovyo

ni bora uchelewe kuoa kabisa au usioe ikibidi ila usikosee kuchagua mke

ni bora uoe msichana asie na elimu,sura mbaya ila akuheshimu na zaidi

upate mke ataeweza kukutunzia SIRI yani ukikosa mwanamke mtunza siri "usioe"
 
Unamjudge mtu pasi na kumsikiliza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Namsikilizaje mtu anae enda kujipeleka kuanzisha mahusiano na rfk wa mume wake?

Ningemsikiliza kama katika soma soma nisingeona kuwa huyo dada alienda kwa rfk wa mume wake.

yani ningeona labda kaenda anzisha mahusiano hukooo au na mtu mwingine.

Unamsikilizaje mtu aliekua ana record mambo ya ndani "alikua anarecord ili iweje"? apeleke wapi?

Kuna vitu hata kama alikua ana haki 100% tayari vimeshamtia doa sana kwa mtu kama mimi asiniletee hiyo kesi.
 
Unajua sababu Ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua sababu Ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na assume mabeste alikua hawajibiki ktk ndoa
Na assume mabeste alikua ana matatizo ktk ndoa
Na assume mabeste alikua ana michepuko ktk ndoa
Na assume mabeste alikua mvivu,mlevi,nk ktk ndoa
Na assume mabeste alikua na makosa 98% ktk ndoa

SWALI:

Alichofanya huyo mwanamke before breakup,tuweke hilo la recording tu

mambo ya ndani ya familia na kuyahifadhi,ilikua ni akili au ushuzi wa popo?
 
Una assume?
Acha kufanya Mambo kwa kuassume.
Aliyeanza kuropoka kuhusu familia Ni Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una assume?
Acha kufanya Mambo kwa kuassume.
Aliyeanza kuropoka kuhusu familia Ni Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni mwendo wa ku assume tu maana hata wewe na mimi

hatuna ukweli wa yasemwayo na wahusika,hatuna na hatutoweza kuwa nao.

Tu assume tena hawa watu bado hawajaachana,Tu assume wapo pamoja.

Narudia kuku uliza swali ambalo umeruka kulijibu..👇

Mnagombana ndani ya nyumba then mwanamke ana record ugomvi Hii ni akili????
 
Umeliona Hilo tu la kurecord!?
Mengine hujayaona.

Acha kuishi kwa kuassume,itakugharimu mdogo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…