Jinsi nguvu ya kiza inavyoharibu makusudio na adhma mambo

Jinsi nguvu ya kiza inavyoharibu makusudio na adhma mambo

Hizbu Sharifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2021
Posts
480
Reaction score
978
Wengi wenu Mmekua mukiniuliza maswali mengi kuhusu kutofanikisha makusudio ya jambo kama biashara na mengine bila sababu za msingi na hua haingii akilini kuvurigika kwake

Napenda kuwambia kua jambo linalovurugika katika mwisho wake hali ya kua lilikua vizuri na likavurugika bila sababu za msingi basi ujue ni matatu

1. Aina ya kwanza inakua mfanyaji jambo hua na jitihada za kutosha za kutekeleza makusudio yake ila ghafla kuvurugika basi ujue hapo kuna kiumbe yani JINI ambae kwa makusudi anaharibu inaweza kua ametumwa au kwa sababu zake binafsi

2 . Aina ya pili ni pale mtu hua na mipango na makusudio yake ila anajikuta tu anakua mzito wa kufanya hilo jambo na kua na uvivu au kutojali na anakuja kushtuka pale jambo limeharibika kabisa aina hii tunasema mtu huo amerogeka au amepata husda

3 . Amma aina ya tatu ni mchanganyiko wa yote mawili kua unajitahidi kufanikisha makusudio ya jambo lako ila ghafla likaanza kuharibuka na na ghafla ukajikuta unakua mzito kulifanya basi ujue hapo umerogwa au husda na kuna jini anasimamia usifanikishe adhma zako

Jamani kila siku nasema mtu asikae bila kinga na kusubiri kuharibiwa ndio atafute tiba, kinga ni bora kuliko tiba , ubaya sasa tiba zimekua za kitapeli na magumashi asilimia kubwa ya wanatafuta tiba hutumiwa kuliwa pesa

Tafuteni kinga wacheni kusubiri mpaka mambo yameharibika

Musichoelewa tiba ya kumuagua mtu na uchawi au kumuagua na husda zina ugumu wake na jinsi zilivyotengenwzwa

Kuna wengine wanarogwa leo na athari inampata leo na leo hio hio naweza kufa hivyo mujitahidi kupata kinga usije kukosa muda wa kujitetea

Asanteni
 
Wapi nimeamini huo ujinga?

Mmungu anasema katika quran
"Hakika katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na mabadiliko ya usiku na mchana, na meli zipitazo baharini kwa manufaa ya watu, na yale aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni ya maji kwa ajili ya kuhuisha ardhi baada ya kufa kwake, na akatawanya humo kila mnyama, na kugeuza upepo na mawingu yaliyotiwa kati ya mbingu na ardhi; bila shaka katika haya zimo ishara kwa watu wenye akili."
(Surat Al-Baqara 2:164)

Anamalizia kua zimo ishara kwa watu wenye akili hivyo wewe akili huna ndio mana unakataa kuwepo kwa mungu na ukibishana na asiekua na akili basi utaonekana kichaa
 
Back
Top Bottom