haaa haaa ..... nilidhani mwishoni utaweka namba ya simu.. kwamba wakitaka dawa wapige namba hiyo..
Mengi ya uliyosema ni ya kufikirika.
Ukweli ni kuwa NYETO haina madhara yoyote, haijawahi kuwa na madhara na Haitakuja kuwa na Madhara MILELE.
Kwanza NYETO ni tiba kwa wanao wahi kumaliza haraka.
ili uweze kufanya mazoezi ya Kegel kwa usahihi inabidi utumie nyeto kucheza mechi ya kirafiki.
Nchi kama Uiengereza waliweka kabisa kampeni ya kuhamasisha vijana wapige NYETO..
kushindwa kusimamisha ni saikolojia yako mwenyewe..
Kwa Tanzania TAFITI nyingi zime fanyika . na hata kufikia baadhinya tafiti kutoa hitimisho kuwa Somo la NYETO liingizwe kwenye mitaala .[emoji23][emoji23][emoji23]
bofya hapa kusoma Tafiti nyingine ya hapa hapa Bongo
Kwangu mimi nakataa NYETO kwa sababu ni DHAMBI Kwa Mujibu wa imani Katoliki. na si vinginevyo.