Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Kwann haiwezekani kukaa miez hiyo kama Hela haipoKukaa mwez bila kupiga demu wala nyeto, ilo nalo ni tatizo. Wanaume sisi tunaojijua kila ukiamka kitu kimesimama kama mpini kinataka pussy afu nikae mwez bila kugonga. Labda mwenzetu umezeeka, libido au hisia zimepungua [emoji23]
Jitaidi ule ule ata matunda yanaongeza libido.
Ni mkakati kabambe wa kuongeza mapunga, maana wanajua ukifika muda minara itakuwa haisomi kabisa.haaa haaa ..... nilidhani mwishoni utaweka namba ya simu.. kwamba wakitaka dawa wapige namba hiyo..
Mengi ya uliyosema ni ya kufikirika.
Ukweli ni kuwa NYETO haina madhara yoyote, haijawahi kuwa na madhara na Haitakuja kuwa na Madhara MILELE.
Kwanza NYETO ni tiba kwa wanao wahi kumaliza haraka.
ili uweze kufanya mazoezi ya Kegel kwa usahihi inabidi utumie nyeto kucheza mechi ya kirafiki.
Nchi kama Uiengereza waliweka kabisa kampeni ya kuhamasisha vijana wapige NYETO..
kushindwa kusimamisha ni saikolojia yako mwenyewe..
Kwa Tanzania TAFITI nyingi zime fanyika . na hata kufikia baadhinya tafiti kutoa hitimisho kuwa Somo la NYETO liingizwe kwenye mitaala .[emoji23][emoji23][emoji23]
bofya hapa kusoma Tafiti nyingine ya hapa hapa Bongo
Kwangu mimi nakataa NYETO kwa sababu ni DHAMBI Kwa Mujibu wa imani Katoliki. na si vinginevyo.
Sema usema afyo, hakuna mtu aliefundishwa nyeto, kama wewe ulifundishwa utajua mwenyewe. Kama wewe ulipiga nyeto ukawa Punga, pole, endelea na uchoko wako, usitafute mob sapport ya kudhibitisha uchoko wakoNi mkakati kabambe wa kuongeza mapunga, maana wanajua ukifika muda minara itakuwa haisomi kabisa.
Kwahiyo kituo kinachofuata ndiyo ile unasikia mabwana mabwabwa wasiogonga kabla ya kugongwa maarufu kama mchicha mwiba.
Ukishazoea kupumuliwa kisogoni hata majukumu ya kunyandua mademu utatemana nayo na mwanamke wa kiume
Even if you dot do musterbation kufa utakufa tu, na utaiacha nyeto inapigwa.Masturbation affects both "The mental,The physical And The Spiritual" Run away from it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona una hasira kama umekalia kitu kigumu? Au unataka wote wafike huko ulipo wewe? Ukifokolewa wewe inatosha sio mpaka na vijana wenzako wawe kama weweSema usema afyo, hakuna mtu aliefundishwa nyeto, kama wewe ulifundishwa utajua mwenyewe. Kama wewe ulipiga nyeto ukawa Punga, pole, endelea na uchoko wako, usitafute mob sapport ya kudhibitisha uchoko wako
Sina hasira, bali unaongea pumba, huna facts, umejazwa upepo tu. Kwanza nyeto yenyewe hupigi, mtu huna nguvu za kiume utapigaje nyeto, acha wenye nguvu wapige we pigwa miti ukoMkuu mbona una hasira kama umekalia kitu kigumu? Au unataka wote wafike huko ulipo wewe? Ukifokolewa wewe inatosha sio mpaka na vijana wenzako wawe kama wewe
ππππππEha!! Vipi Sasa huo Udomo zege Umekutoka Mkuu au Bado ulikutokaje wengne tujifunze
Hujaona confession ya mleta uzi kuwa ni muhanga. Mbona unachukia sana kampeni ya kuokoa vijana wasitumbukie huko ili kunusuru ongezeko la machoko huko mbele?Sina hasira, bali unaongea pumba, huna facts, umejazwa upepo tu. Kwanza nyeto yenyewe hupigi, mtu huna nguvu za kiume utapigaje nyeto, acha wenye nguvu wapige we pigwa miti uko
πππππππ Asubuhi naamkaga mashne imesimama kama kawaida,,, kinachofanya nisigonge mademu ni kwa sababu za kiuchumi,,,Kukaa mwez bila kupiga demu wala nyeto, ilo nalo ni tatizo. Wanaume sisi tunaojijua kila ukiamka kitu kimesimama kama mpini kinataka pussy afu nikae mwez bila kugonga. Labda mwenzetu umezeeka, libido au hisia zimepungua [emoji23]
Jitaidi ule ule ata matunda yanaongeza libido.
Uyo mtoa uzi nae kajazwa upepo kama ww ulivojazwa upepo.Hujaona confession ya mleta uzi kuwa ni muhanga. Mbona unachukia sana kampeni ya kuokoa vijana wasitumbukie huko ili kunusuru ongezeko la machoko huko mbele?
Mkuu kama wewe tayari umeshaanza kupelekewa moto usitamani kila mtu awe kama wewe.
Maana naamini unajutia na hukupenda uwe unaliwa mgongo na wanaume wenzio ila ndiyo hauna namna tena minara haina ushirikiano.
Hayo madhara labda yanachagua mtu na mtu, nimefanya miaka mingi na ninaendelea kufanya sikawahi kuona madhara yeyote.Madhara ya nyeto ni makubwa nashangaa wanaosema unaweza yamaliza kwa mazoezi ya kegel na kula sijui nnβ¦
Kuhusu saikolojia kuna vitu vingi tu vinasababishwa madhara ya kisaikolojia, watu waanachwa na wapenzi wao wanapata madhara ya saikolojia wengine had wanajiua, mahusiano yanapelekea watu wanaua, wanajinyonga, ayo madhara ya kisaikolojia yanayotakana na nyeto ni yapi. Ulishasikia mtu amejiua kisa nyeto? Lakn ni visa vingapi tunasikia watu wanauliwa kisa wivu wa mapenzi.Punyeto ina madhara ila madhara yake naweza sema karibia yote ni ya kisaikolojia yani effect zake ni za kwenye ubongo ila sio physically.
Mfano nyeto inapelekea mtu kutokujiamini hii ukiifatilia vizur inasababishwa na ile hali ya mtu kuanza kujishtukia na kuhisi watu waliomzunguka wanajua kitendo anachofanya akiwa faragha.Na ikitokea kua kuna mtu alimfumania akiwa anafanya hiko kitendo inakua mbaya zaidi.
Kuchelewa kumwaga pia ni moja ya effect ya punyeto,hii nafkiri ni kutokana tayari umeshajitengenezea fikra katika ubongo kua mashine yako inabid isugue kitu kigumu ili uweze kufika mshindo so ukija kukutana na kitu kilaini zaid ambayo ni uke unashindwa kupata hisia hii inaweza pelekea either kufanya tendo kwa muda mrefu mpaka dk za mwisho kupigishwa nyeto ya huyo mwanamke au kushindwa kabisa kupata hisia za kufanya tendo.
Mm pia naamini kupiga punyeto kuna pelekea mtu kua na bad lucky hii nitafafanua kama mkitaka.
Mtu aliyetumbukia zaidi kwenye punyeto ni ngumu sana kua na mwanamke kwasabab hataweza kuvumilia mikiki ya
kuzungushwa mpka kupata show kutoka kwa hawa wanawake wa mjini wakati ww mwenyew unaweza jipatia furaha bila kutoa jasho,kiufupi thamani ya K kwako haitakua kubwa sana kama kwa yule mtu ambaye hapigi au hajawahi kupiga punyeto.
But hivi vyote kwa upande wang nafkiri ni madhara ya kisaikolojia ambayo yanaweza yakatofautiana baina ya mtu na mtu.
Mbona unacheka tusaidianeππππππ
Kuzungushwa na demu ndo ktu spendagi,,, mm nkimtongoza akakataa,, nkijitahid sana ntraudia mara moja afta that nafuta namba zake naingia manzese uwanja wa fisi, kimboka au pale riverside. But nyeto is a NO GO ZONE to me!!!Punyeto ina madhara ila madhara yake naweza sema karibia yote ni ya kisaikolojia yani effect zake ni za kwenye ubongo ila sio physically.