Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Shikamoo Ontario mdogo wangu[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa pamoja sana jemedari.Hongera sana Chalii, kaza buti uzidi kuyang'amua haya maisha. Hakika kwa hili litakuwa motisha kwa vijana katika kupambana kuzifikia fursa. Umetoa somo kubwa sana.
Hata hivyo, nitake radhi (kidding). Mimi nilikuwa nikisoma nyuzi zako najua wewe ni mid thirties to forties kumbe Chalii mdogo tu.
so ulimaliza degree ya gesi na miaka 20?Hahaaa pamoja sana jemedari.
Juzi tu hapo tarehe mwezi wa2 tumechoma mahindi, tumepasua sana madafu kuadhimisha birthday yangu ya miaka 23.
Mkuu kuna huu msimu wa mwezi wa 6-8 kule kilombero kwenye uvunaji wa mpunga. Unafunga teller unasomba mizigo kutoka kule mashambani kuleta town kwenye magodown na mashine za kukoboa.Ulipotaja matrekta nakuelewa kabisaaa na hizo shuruba bimezipitia na nimeona faida yake ipo. Msimu ujao na mm nitafanya kitu.... Nakuelewa sana mkuu
Amuka elimika mbona jamaa kafuloo kwa fact na evidence usichoamini nini mbona hayo ni mambo ya kawaida sana ukiamua,acha kulala siku hazigandiWewe ni muongo hicho kipaji chako cha kutunga history za uongo kipeleke grobal publisher watakusaidia
Acha kuwa muoga wewe bhanaAfterthought 5:
Picha nyingi nimeficha identity yangu, off course hakuna mtu anayependa kujulikana JF zaidi ya Le mbebeez, le akili kubwa. Sisi wengine wote ni waoga.
So kama incase ukawa unanifahamu kupitia hizo pic ama operations zangu, naomba ukaushe, usianze kuropoka please nakuomba.
Mkuu nimekuelewa saanaa,, Upo vizuri saanaa . Kwenye kilimo kuna PESA Sana binafsi na dil na zao la korosho Kusini, mwaka Jana nimepata pesa ambayo sikutarajia kabisa... Jins unavyosubiria wewe msimu wa mwenz wa 6-8 kirombero, sawa na Mimi navyosubiri mwenz wa 9-12 Kusini.Mkuu kuna huu msimu wa mwezi wa 6-8 kule kilombero kwenye uvunaji wa mpunga. Unafunga teller unasomba mizigo kutoka kule mashambani kuleta town kwenye magodown na mashine za kukoboa.
Ule ndio msimu wa pesa, achana na huu wa kulima. Nausubiria vby mno hapa.
Mkuu kuna huu msimu wa mwezi wa 6-8 kule kilombero kwenye uvunaji wa mpunga. Unafunga teller unasomba mizigo kutoka kule mashambani kuleta town kwenye magodown na mashine za kukoboa.
Ule ndio msimu wa pesa, achana na huu wa kulima. Nausubiria vby mno hapa.
Mkuu kuvuta mzigo pesa yake ni nzuri kuliko kulima. Inategemea na umbali, gunia 1 huwa ni 4000-6000, na ukipata teller kubwa na tractor ya 4 WD, trip 1 unagonga gunia 50. Kwa siku katika hali ya kawaida unalaza chomba saa 12 ukiwa umegonga trip 3. Ukitaka kwenda beyond comfort zone ndio utapiga pesa si mchezo.Mkuu hiii sina uzoefu nayo aisee nina uzoefu na hiyo ya kulima na nilikuwa na John Deere ya hp 55 huko kusini japo nilikuwa nasimamia lakini niliiona Fursa