Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Nimesoma juujuu tu ngoja nitulie nitaisoma vizuri
 
Mimi Nadhani mtaji wako huo unaodhani ni kidogo ungeutaja angeanzia hapo kukushauri alisisitiza hatowasiliana na mtu yeyote wala kujibu pm
Nadhani ungejimwaga hapa mkuu ili kama ni ushauri utolewe hapa wengine watanufaika pia .
Sawa mkuu nimewaelewa.
 
mkuu tuwasiliane nikuuzie trekta mpya na harvester "Kubota" ya kuvunia mpunga kwa masharti nafuu...
 
Hapana..ni mpya ziko sokoni zinauzwa.
OK nimekupata mkuu
Ni aina gani ?
Na bei zikoje?
Kwa sababu ni biashara ungetiririka hapa ili wengi wapate habari mkuu
Usimlenge Ontario tu
Sema una trekta za aina gani na sifa zake pia bei na mnapatikana wapi?
Na je mnauza kwa cash tu au na mkopo pia? itumie fursa hii mkuu kwa kujitangaza
 
Wr jamaa hapana umenipa motivations ya ajabu na home tuna trekta mbil zimekaa saiv msimamiz hakuna ngijaaaaaaaa
 
Kwa wenye kuhitaji kufahamu zaidi..tuwasiliane kupitia PM
 
U ar smart bro..... Rich are born or made? Nawaza tu kwa sauti. Koz kuna watu unajua ni kama mnakula vyakula vya sayari nyingn
 
Kwa wenye kuhitaji kufahamu zaidi..tuwasiliane kupitia PM
Hiyo siyo biashara sasa
Unafanya biashara afu unataka iwe siri mkuu?
Pm ya mini sasa ? Unaogopesha uko pm watu huwa wanatapeliwa
Jitangaze hapa kila mtu ajue mkuu kama kweli uko seriaz na biashara yako
 
mkuu tuwasiliane nikuuzie trekta mpya na harvester "Kubota" ya kuvunia mpunga kwa masharti nafuu...
Mkuu Brian72 nashukuru sana.

Combined harvester tayari ninayo. Mwezi wa 9 nitahitaji tractors 2 hivi kama tukijaliwa uzima. Naweza kuurudia huu uzi ili kukupata.

Pia ungeweka specifications zake, bei, ubora nk. yawezekana hata watu wengine wangezihitaji apart from me.

Pa1 sana.
 
Nimeku PM pia kukukaribisha ofisini. Hapo tutapeana mawasiliano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…