Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why ?*it can be boring for sure*..
Sawa mkuu nimewaelewa.Mimi Nadhani mtaji wako huo unaodhani ni kidogo ungeutaja angeanzia hapo kukushauri alisisitiza hatowasiliana na mtu yeyote wala kujibu pm
Nadhani ungejimwaga hapa mkuu ili kama ni ushauri utolewe hapa wengine watanufaika pia .
Mkuu nina 1.5m.Soma post # 393 nilivyomjibu huyo mdau wangu wa nguvu.
Angalia namna alivyouliza swali lake, at least nijue wapi naanzia. Kisha tazama ww ulivyouliza.
mkuu tuwasiliane nikuuzie trekta mpya na harvester "Kubota" ya kuvunia mpunga kwa masharti nafuu...Mkuu kuna huu msimu wa mwezi wa 6-8 kule kilombero kwenye uvunaji wa mpunga. Unafunga teller unasomba mizigo kutoka kule mashambani kuleta town kwenye magodown na mashine za kukoboa.
Ule ndio msimu wa pesa, achana na huu wa kulima. Nausubiria vby mno hapa.
Huwezi kukodisha mkuu wakati wa mavunomkuu tuwasiliane nikuuzie trekta mpya na harvester "Kubota" ya kuvunia mpunga kwa masharti nafuu...
Hapana..ni mpya ziko sokoni zinauzwa.Huwezi kukodisha mkuu wakati wa mavuno
Unapatikana wapi?
Kama jipya niini sababu za kuuza?
OK nimekupata mkuuHapana..ni mpya ziko sokoni zinauzwa.
Kwa wenye kuhitaji kufahamu zaidi..tuwasiliane kupitia PMOK nimekupata mkuu
Ni aina gani ?
Na bei zikoje?
Kwa sababu ni biashara ungetiririka hapa ili wengi wapate habari mkuu
Usimlenge Ontario tu
Sema una trekta za aina gani na sifa zake pia bei na mnapatikana wapi?
Na je mnauza kwa cash tu au na mkopo pia? itumie fursa hii mkuu kwa kujitangaza
Hiyo siyo biashara sasaKwa wenye kuhitaji kufahamu zaidi..tuwasiliane kupitia PM
Mkuu Jonas vipi hamuwezi kodisha kwa MTU walau moja?Wr jamaa hapana umenipa motivations ya ajabu na home tuna trekta mbil zimekaa saiv msimamiz hakuna ngijaaaaaaaa
Mkuu Brian72 nashukuru sana.mkuu tuwasiliane nikuuzie trekta mpya na harvester "Kubota" ya kuvunia mpunga kwa masharti nafuu...
Nimeku PM pia kukukaribisha ofisini. Hapo tutapeana mawasiliano...Mkuu Brian72 nashukuru sana.
Combined harvester tayari ninayo. Mwezi wa 9 nitahitaji tractors 2 hivi kama tukijaliwa uzima. Naweza kuurudia huu uzi ili kukupata.
Pia ungeweka specifications zake, bei, ubora nk. yawezekana hata watu wengine wangezihitaji apart from me.
Pa1 sana.
![]()
Mkuu nina kasimu kadogo, unaquote uzi wote huo wa nini.U ar smart bro..... Rich are born or made? Nawaza tu kwa sauti. Koz kuna watu unajua ni kama mnakula vyakula vya sayari nyingn
Nikadhn km wasap (koz kwang inaonekn hivy) mzaz! Ugen shidaa... Nunua kakubw lkn [emoji3] [emoji3]Mkuu nina kasimu kadogo, unaquote uzi wote huo wa nini.