Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Very inspiring, ntatest inshu za option nazijua kwy makaratasi vizuri!
 
Cjawah kua inspired kias hiki God bless u nlikua na wazo la biashara lakn nilikua naogopa kuanza ila baada ya kusoma hapa nmeanza mara moja najua ntafika mbal cku nkifanikiwa ntakutafta adi nkupate kitu kingne nmependa aina ya uandshi wako
 
Hongera sana mkuu ONTARIO nimeguswa sana na hili andiko lako ila kuna vitu nilikuwa naomba unipe ufafanuzi kidogo jinsi vinavyofanya kazi
1.Hiyo kazi anayofanya mdogo wako wa kike pengine na mie naeza nikaokota zaidi hapo

2.Hiyo ya Forex market.......sijajua kama nimeandika kwa usahihi
 
Niko chuo mwaka wa Pili sasa kuna kijisehemu najitolea naweka akiba naamini mpaka nikimaliza mwakani nitakua na chakuanzia hope tutapata mengi kutoka kwako bro.
Mkuu wapiii huko unajitoleaa ...tupeane michongo hiyo me pia Niko chuo natafuta fursa kama hizo..??
 
dogo acha uongo,,, hata sisi hizo mambo tumecheza nazo xana,, sio kiivyo yan....75% exaggeration nat real little Boy,, Utunzi wa vitabu vya story unakufaa...!!
 
hebu toa maelezo ya hilo jedwali hapo naona mapicha picha tu au ndio ule mchezo wako wa bitcoin..?
Hiyo screen shot ni ya platform (application) ya currency trading.

Unaweza Google kupata uwelewa kidogo...

Hope itakusaidia.
 
dogo acha uongo,,, hata sisi hizo mambo tumecheza nazo xana,, sio kiivyo yan....75% exaggeration nat real little Boy,, Utunzi wa vitabu vya story unakufaa...!!
Mkuu yawezekana experience yako ya hii kitu ilikua negative haimaanishi utakua negative kwa kila mtu, ndio maana katika shamba hilo hilo la matikiti kuna mengine yatatoka madogo mengine makubwa sana.

Usisahau Diamond, Belle 9 na Bob Junior walianza muziki msimu mmoja. Kisa Z anto kakwama haimaanishi Diamond nae atakwama. Kuna msemo wa Kichina untranslate into "There has never been a successful business, only successful people".
 
Huwa napata faraja sana nikisikia hoja kama hizi kutoka kwa watanzania safi sana sana sana mkuu
 
Umempa jibu zuri sana......ila wakati mwingine usiumize kichwa kwa watu kama hawa!!

Mkuu nimekuuliza vitu hapo post no.556 na 557......naomba msaada wako!!
 

Mkuu Kafman swali la 1 na la 2 yote yanahusu Foreign Exchange (ForEx Trading), kwa kifupi ni trading of foreign currencies electronically at REAL time.

So far matunda niliyoyaona ndani ya muda mfupi ni makubwa sana, nikipiga hesabu naona wazi kuwa tangu nianze biashara 5 yrs ago hkn biashara ishawahi kunilipa hivi ndani ya muda mfupi zaidi ya Forex.

Kama ulisoma vzr uzi wangu nilisema kuna fursa nzuri ya biashara nimeiona, lkn sitaishare ktk uzi huu. Nikaahidi nitaishare before Sept.
Kwanini?! >>Forex trading si kama biashara ya kufungua duka la nguo Sinza na kusubiri wateja upige faida... hii ni biashara tofauti inayoitaji skills na knowledge kubwa sana hasa katika financials, economics, global markets nk. Hivyo mimi pia bado ni mwanafunzi, nina mentors ambao wananinoa kwa sasa, na kwa kutumia msaada wao ndio naweza kupiga faida ninayopiga. Siku nami nikiwa kipanga (mbabe) naweza kushare na watanzania wenzangu hii fursa.

Sitaki kuwa mentor kilaza, coz ktk hii biashara kosa dogo unapoteza hata $5000 ndani ya dakika 5, na ukiwa mcharo pesa hiyo hiyo unaipata ndani ya less than 1 hr. So si kitu cha kuambiwa usiku kisha asubuhi uanze kuifanya.
 
Okay sawa mkuu nimekupata vizuri kabisa........kwa kuanzia tu unaeza weka abc zake hapa kwa maana ya jinsi ya kujiunga na unafanyaje ili uweze kupata faida?
 
Safi kaka upo perfect sana lakini ni kwanini unapokarbia mafanikio kunachangamoto znajtokeza tena wakati mwengine huwa zto na nilazma ujnasue nazo may be ugonjwa na nyngnezo unaona PESA inatoka tu kuliko kuingia Ilo je unaliongeleaje kupambana na hz changamoto.
 
Brother maneno yako soo motivating,, ntashare na kwa upande wangu next time maana nimegundua kuwa wote sie ni graduates wa 2016 with malengo makubwa sanah,, ila nina kaswali ka kizushi aiseee..
I never thought it'd come a day that....
Huyu binti ulimwandika apa aliishiaga wapi aiseee maana mabinti hawa daaahhh...
 
Yote ni kweli about forex trading. What app are you using kutrade ambayo ni easy kusetup account yako hapa bongo?
 
Umempa jibu zuri sana......ila wakati mwingine usiumize kichwa kwa watu kama hawa!!

Mkuu nimekuuliza vitu hapo post no.556 na 557......naomba msaada wako!!

Vipofu tangu lini wakaongozana??? Wote watadumbukia shimoni.. Acheni kujazana vichwa,,,,!!!! Unless he proves it,,, Atupe financial statement yake hapa tuione alivofanya...!!! Ujue sio kila headline ya mafanikio inajenga. Zingine zaweza kua za uongo zinasababisha watu kuikimbilia biashara ilopewa headline kuuuubwa ka hii na kuangukia pua mwsho wa siku,, umempotezea mtu muda, na pessa yake....!!!

Prove it boy,, !! kama ulikua willing kushare mafanikio yako na sisi haitakua kazi kutupa your financial statement which gave you that money...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…