Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SA upo sehemu gani?Sio Bongo.
Mkuu wapiii huko unajitoleaa ...tupeane michongo hiyo me pia Niko chuo natafuta fursa kama hizo..??Niko chuo mwaka wa Pili sasa kuna kijisehemu najitolea naweka akiba naamini mpaka nikimaliza mwakani nitakua na chakuanzia hope tutapata mengi kutoka kwako bro.
Hiyo screen shot ni ya platform (application) ya currency trading.hebu toa maelezo ya hilo jedwali hapo naona mapicha picha tu au ndio ule mchezo wako wa bitcoin..?
Mkuu yawezekana experience yako ya hii kitu ilikua negative haimaanishi utakua negative kwa kila mtu, ndio maana katika shamba hilo hilo la matikiti kuna mengine yatatoka madogo mengine makubwa sana.dogo acha uongo,,, hata sisi hizo mambo tumecheza nazo xana,, sio kiivyo yan....75% exaggeration nat real little Boy,, Utunzi wa vitabu vya story unakufaa...!!
Huwa napata faraja sana nikisikia hoja kama hizi kutoka kwa watanzania safi sana sana sana mkuuMkuu nimekuelewa saanaa,, Upo vizuri saanaa . Kwenye kilimo kuna PESA Sana binafsi na dil na zao la korosho Kusini, mwaka Jana nimepata pesa ambayo sikutarajia kabisa... Jins unavyosubiria wewe msimu wa mwenz wa 6-8 kirombero, sawa na Mimi navyosubiri mwenz wa 9-12 Kusini.
Umempa jibu zuri sana......ila wakati mwingine usiumize kichwa kwa watu kama hawa!!Mkuu yawezekana experience yako ya hii kitu ilikua negative haimaanishi utakua negative kwa kila mtu, ndio maana katika shamba hilo hilo la matikiti kuna mengine yatatoka madogo mengine makubwa sana.
Usisahau Diamond, Belle 9 na Bob Junior walianza muziki msimu mmoja. Kisa Z anto kakwama haimaanishi Diamond nae atakwama. Kuna msemo wa Kichina untranslate into "There has never been a successful business, only successful people".
Hongera sana mkuu ONTARIO nimeguswa sana na hili andiko lako ila kuna vitu nilikuwa naomba unipe ufafanuzi kidogo jinsi vinavyofanya kazi
1.Hiyo kazi anayofanya mdogo wako wa kike pengine na mie naeza nikaokota zaidi hapo
2.Hiyo ya Forex market.......sijajua kama nimeandika kwa usahihi
Okay sawa mkuu nimekupata vizuri kabisa........kwa kuanzia tu unaeza weka abc zake hapa kwa maana ya jinsi ya kujiunga na unafanyaje ili uweze kupata faida?Mkuu Kafman swali la 1 na la 2 yote yanahusu Foreign Exchange (ForEx Trading), kwa kifupi ni trading of foreign currencies electronically at REAL time.
So far matunda niliyoyaona ndani ya muda mfupi ni makubwa sana, nikipiga hesabu naona wazi kuwa tangu nianze biashara 5 yrs ago hkn biashara ishawahi kunilipa hivi ndani ya muda mfupi zaidi ya Forex.
Kama ulisoma vzr uzi wangu nilisema kuna fursa nzuri ya biashara nimeiona, lkn sitaishare ktk uzi huu. Nikaahidi nitaishare before Sept.
Kwanini?! >>Forex trading si kama biashara ya kufungua duka la nguo Sinza na kusubiri wateja upige faida... hii ni biashara tofauti inayoitaji skills na knowledge kubwa sana hasa katika financials, economics, global markets nk. Hivyo mimi pia bado ni mwanafunzi, nina mentors ambao wananinoa kwa sasa, na kwa kutumia msaada wao ndio naweza kupiga faida ninayopiga. Siku nami nikiwa kipanga (mbabe) naweza kushare na watanzania wenzangu hii fursa.
Sitaki kuwa mentor kilaza, coz ktk hii biashara kosa dogo unapoteza hata $5000 ndani ya dakika 5, na ukiwa mcharo pesa hiyo hiyo unaipata ndani ya less than 1 hr. So si kitu cha kuambiwa usiku kisha asubuhi uanze kuifanya.
Yote ni kweli about forex trading. What app are you using kutrade ambayo ni easy kusetup account yako hapa bongo?Mkuu Kafman swali la 1 na la 2 yote yanahusu Foreign Exchange (ForEx Trading), kwa kifupi ni trading of foreign currencies electronically at REAL time.
So far matunda niliyoyaona ndani ya muda mfupi ni makubwa sana, nikipiga hesabu naona wazi kuwa tangu nianze biashara 5 yrs ago hkn biashara ishawahi kunilipa hivi ndani ya muda mfupi zaidi ya Forex.
Kama ulisoma vzr uzi wangu nilisema kuna fursa nzuri ya biashara nimeiona, lkn sitaishare ktk uzi huu. Nikaahidi nitaishare before Sept.
Kwanini?! >>Forex trading si kama biashara ya kufungua duka la nguo Sinza na kusubiri wateja upige faida... hii ni biashara tofauti inayoitaji skills na knowledge kubwa sana hasa katika financials, economics, global markets nk. Hivyo mimi pia bado ni mwanafunzi, nina mentors ambao wananinoa kwa sasa, na kwa kutumia msaada wao ndio naweza kupiga faida ninayopiga. Siku nami nikiwa kipanga (mbabe) naweza kushare na watanzania wenzangu hii fursa.
Sitaki kuwa mentor kilaza, coz ktk hii biashara kosa dogo unapoteza hata $5000 ndani ya dakika 5, na ukiwa mcharo pesa hiyo hiyo unaipata ndani ya less than 1 hr. So si kitu cha kuambiwa usiku kisha asubuhi uanze kuifanya.
Umempa jibu zuri sana......ila wakati mwingine usiumize kichwa kwa watu kama hawa!!
Mkuu nimekuuliza vitu hapo post no.556 na 557......naomba msaada wako!!