Nahisi ulimaanisha broker... natumia brokers wawili tofauti XM pamoja na JPmarket. Kama ulimaanisha App niseme natumia MT4.Yote ni kweli about forex trading. What app are you using kutrade ambayo ni easy kusetup account yako hapa bongo?
What's your point?!Vipofu tangu lini wakaongozana??? Wote watadumbukia shimoni.. Acheni kujazana vichwa,,,,!!!! Unless he proves it,,, Atupe financial statement yake hapa tuione alivofanya...!!! Ujue sio kila headline ya mafanikio inajenga. Zingine zaweza kua za uongo zinasababisha watu kuikimbilia biashara ilopewa headline kuuuubwa ka hii na kuangukia pua mwsho wa siku,, umempotezea mtu muda, na pessa yake....!!!
Prove it boy,, !! kama ulikua willing kushare mafanikio yako na sisi haitakua kazi kutupa your financial statement which gave you that money...!!!
What's your point?!
Niweke financials zangu ili tu nikuprove wewe tomaso ambae unatumia fake identity?!
Sitafuti attention, I need to inspire my brothers and sisters - hata wasipofanya leo, wataurudia huu uzi siku wakihitaji motivation. Sijamwambia mtu aingia kwa hii biashara, but nimetoa challenge kua "You don't need to be talented to get things done". So hata mtu akitaka kufungua restaurant ama duka la nafaka still anaeza akavaa huu uzi na ukamtosha.
If you hate, keep hating, haitabadilisha theme ya uzi huu. Till then let us grind.
Afterthought 1:
Niwe tu muwazi - sijibu PM yoyote ile, I mean YOYOTE. Sitoi mawasiliano ya aina yoyote ile, PM kumejaa uhuni, utapeli na kujikamatisha kwa kamansa Xirro.
Maswali yote najibu hapa, maelezo yote nafafanua hapo. Kila mtu ajifunze, wote tugawane darasa huru. Wote tupanuane fikra.
Hiyo app ni MetaTrader4 au ni tofauti na MT4.Nahisi ulimaanisha broker... natumia brokers wawili tofauti XM pamoja na JPmarket. Kama ulimaanisha App niseme natumia MT4.
unaweza ukawa mkubwa kwa maneno sababu akili ya pesa huja na busara ya kuchagua cha kuongea. Ukishaanza kuwa na pesa majigambo ya aina hiyo hamna..Kwa hiyo ndugu yangu huna helaa unatoaa tu mapovuuu😀😀😀.. Mapovu hayalipi bili"we speak different languages boy...!! " Keep it up anyway and inspire those who need to be inspired through yur success...!!
Mkuu ONTARIO nimefungua akaunti XM sasa nipe muongozo kipi kinafuata hapo[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]What's your point?!
Niweke financials zangu ili tu nikuprove wewe tomaso ambae unatumia fake identity?!
Sitafuti attention, I need to inspire my brothers and sisters - hata wasipofanya leo, wataurudia huu uzi siku wakihitaji motivation. Sijamwambia mtu aingia kwa hii biashara, but nimetoa challenge kua "You don't need to be talented to get things done". So hata mtu akitaka kufungua restaurant ama duka la nafaka still anaeza akavaa huu uzi na ukamtosha.
If you hate, keep hating, haitabadilisha theme ya uzi huu. Till then let us grind.
Hivi kaka Ontorio kwanini usituletee uzi hapa wa ujasiliamali na sisi vijana wenzako tuka make pesa vijana njaa zimetujaa mzee hiyo kitu ya kumake 1 mil per day tufundishe kaka na sisi tupambane na hali zetuUlimu ina tabia 1 ya kumpumbaza mtu... mimi niliamua niipuuze, nilikua nawaona maProf pale chuo wanashindwa kusimamia miradi yao ya kuku 500 tu.
Mi nimefungua kwe App.sema nimeshindwa kuendelea jinsi ya kuanza!Mkuu hiyo akaunti XM inafunguliwa online au ktk app? Naomba kujua.
Hatermaneno mengi ya nini we eleza hizo pesa unazipataje ? unauza nini? mbona story zako za shamba ulieleza hatua kwa hatua ...we eleza hatua kwa hatua hapa unapataje hiyo pesa na sisi tusio na mafanikio tujue....au unataka uwe tajiri peke yako mkuu hahaha mi sina chuki na mafanikio ya mtu maana mafanikio yako hayanihusu wala kunisaidia chochote kile kwenye maisha yangu......mafunzo yako jinsi ya kupata hiyo milioni 9 kwa siku nddio yatakayonisaidia
kaka nmekupenda bure yan Dah!....saf sanaAfterthought 1:
Niwe tu muwazi - sijibu PM yoyote ile, I mean YOYOTE. Sitoi mawasiliano ya aina yoyote ile, PM kumejaa uhuni, utapeli na kujikamatisha kwa kamansa Xirro.
Maswali yote najibu hapa, maelezo yote nafafanua hapo. Kila mtu ajifunze, wote tugawane darasa huru. Wote tupanuane fikra.
Bro, Kaveli it's been veryyyy long no see you in any sridi. Ni heri lakini huko?