Vipofu tangu lini wakaongozana??? Wote watadumbukia shimoni.. Acheni kujazana vichwa,,,,!!!! Unless he proves it,,, Atupe financial statement yake hapa tuione alivofanya...!!! Ujue sio kila headline ya mafanikio inajenga. Zingine zaweza kua za uongo zinasababisha watu kuikimbilia biashara ilopewa headline kuuuubwa ka hii na kuangukia pua mwsho wa siku,, umempotezea mtu muda, na pessa yake....!!!
Prove it boy,, !! kama ulikua willing kushare mafanikio yako na sisi haitakua kazi kutupa your financial statement which gave you that money...!!!