Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Kama hujui ni bora kuwa kmya,
Ud pana koz tatu zinazo husu mafuta na gas,,
Petrolum chemistry ilianzishwa mwaka 2013 ndi ilikuwa intake ya kwanza imbayo inasomwa miaka mitatu,, ambao ndo wamehitimu 2016;,
 
Pamoja kiongozi, tunangoja kwa hamu hayo madini, wacha na mini nijifue mdogo mdogo kuzijua ABCs za forex trading....oyaa ni pm basi formular ya chakula cha kuku , ama niconnect na mdau uliye mwachia madesa ili nifanye site visit kujifunza.
Mkuu formula ya kuku hiyo ni siri ya mtengenezaji na huwa zinauzwa. Kwa kukusaidia tafuta Dr mzuri wa mifugo atakutengenezea formula na wewe utampa chake. Ontario piga ua hawezi kikupa formula yake, hiyo ni siri ya jeshi mkuu.

Mimi mwenyewe Niko kwenye mchakato wa kutafuta formula yangu, na usikae ukategemea utaipata formula kirahisi namna hiyo.

Alafu mkuu Ontario yeye formula yake alinunua naivasha Kenya. Ila formula pia huwa inabadilika kulingana na mazingira
 
Safi sana kijana mwenzangu, tunasubiri hilo somo la forex trade tuanze kupiga pesa. Mkuu usisahau kunitag b'n hahahahhaa japokua najua uko busy kinoma noma
 
Samahani mkuu, imetokea kama unanifahamu sana sana sana, hadi suala la kununua formula ulijulia wapi boss?! Sijawahi hata siku 1 kupost hapa JF kuhusu miradi yangu ya kilimo.
 
Samahani mkuu, imetokea kama unanifahamu sana sana sana, hadi suala la kununua formula ulijulia wapi boss?! Sijawahi hata siku 1 kupost hapa JF kuhusu miradi yangu ya kilimo.
Kupitia huu Uzi uliniispire sana mkuu kufikia Mimi kuanza kuwaza vitu vikubwa mno ambavyo soon naanza kuvitekeleza, so niliamua nikufuatilie sana mpaka kujua vyote hivyo, na kila kitu ulichosema hapa ni kweli japo kuna mabashite wanapinga.

Afu kumbe ulipokulia ni mazingira jirani tu na home, na mitaa yenu nimepiga sana tuition kipindi hicho. Salute mkuu wewe ni mentor wangu usijali japo nimekuzidi mwezi mmoja hahahahahaa
 
Here is where I belong... Hapa ndipo ninapopigiaga Pesa.. Kiteto ndio mitaa yangu... Nalima pia.. Jumatatu naenda kiteto kuvuna.. Tutafutane tupeane fursa mkuu.. I own tractors too japo sio zangu ni za baba yangu ila ndio napigia kazi. Tutafutane mkuu kama hutojali... Sitakupm maana umesema hutak PMs ila mm naomba yako... Pambana mkuu... I'm a University graduate too ila kazi zmekua ngetwa na ukibahatika mshahara wa hovyo sana...
 
Wakati tunasubiri Somo la Forex
watu wanaweza kupitia hii website
Learn Forex Trading With BabyPips.com kwa kuanzia
 
Mkuu unajua hii story yako imenisisimua sana na imenitoa machozi.!! Hakika vijana tumelala sana kaka fanya mpango na mm hiyo ya kusomba mazao niwe pamoja na ww, pls fanya hivyo.!!
 
Umenikumbusha ujana wangu! Nilipokosea,ni kuchanganya juhudi binafsi na ajira za serikali! Mabosi wengi hawapendi,watakuhamisha sana vituo vya kazi. Umefanya vyema kutochanganya mambo,na kujiajiri and you are perfectly correct.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…