Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

HOngera Bro. Hongera sana. Tatizo la vijan wengi ni uvivu wakujituma na kufikiri.
Umepiga BINGO. Agro business siku zote kama ukisimama kimkakati, ni shughuri ambayo inalipa. BIG UP
Hongera
 
Mkuu hiii sina uzoefu nayo aisee nina uzoefu na hiyo ya kulima na nilikuwa na John Deere ya hp 55 huko kusini japo nilikuwa nasimamia lakini niliiona Fursa
mkuu hebu nipe msaada hapo kusini naweza pata trekta used lakununua? japo lile lililokufa ?
 
Bro vipi forex napo ulitengeneza milioni ngapi kwa muda gani?
 
jamaa anauzi mzuri sana tena sanaa mii naanini sana katika chuma tena natafuta yoyote mwenyekujua mahala panauzwa zile trekta ambazo naweza nunua kwa bei nafuu hasa toka mkononi mwa mtu anijuze ila akipata MF 375 itakuwa kanisaidia sana
 
Naomba kuuliza ni Traktor gani zuri kwa kulimia,kuanzia Horse Power(HP),jina la traktor na uhimilili wake kikazi...
kwauelewa wangu mkuu massey ni nzuri sana maana inatengenezeka kirahisi maana spear part ni nyingi pia ni brand ya uhakika sana ila MF 375 ni zaidi ya zaidi shamba inakimbia, mkuu hii mambo ni zaidi ya zaidi
 
Ni nadra sana kukuta mbongo amefunguka na kuelezea siri za mafanikio yake, wengi huishia kutisha wenzao na kificha ficha. Big up sana, Mungu azidi kukusimia uzidi kufanikiwa
 
Nimesoma nikarudia mara 3 mwanzo mwisho word to word.
Aise wewe ni “balaa”
Acha wajinga wakute sjui tapeli au vyovyote vinginevyo ila mwenye kuutaka ukweli atakuwa amekuelewa!
Bigup bro...
 
Safi sana mkuu yani " if you scared to chances ,you will never have the answers "
 
Nimesoma nikarudia mara 3 mwanzo mwisho word to word.
Aise wewe ni “balaa”
Acha wajinga wakute sjui tapeli au vyovyote vinginevyo ila mwenye kuutaka ukweli atakuwa amekuelewa!
Bigup bro...
eh eh usijekua fursa tu kijana
 
Huyu jamaa si niliskia alikua anatafuta kiki ili awaingize mjini na mkaingia kweli?
 
hongera saana ila natamani kujua maisha baada ya pesha yakutosha ndani ya mwez huo namaanisha uliwekeza wapi tena naomba kujifunza mengi zaid tupia contact yako
 
hongera saana ila natamani kujua maisha baada ya pesha yakutosha ndani ya mwez huo namaanisha uliwekeza wapi tena naomba kujifunza mengi zaid tupia contact yako
Mfuatilie Instagram ayupo tena humu, jifunze kufuatilia yaliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…