Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ahahahahahah acha kuharibu uzi wako banaUnajua izo kitu sijawahi kupanda, kumbe Bombadia hazina seat number. Ukiingia unagombania kama DCM za mbagala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahah acha kuharibu uzi wako banaUnajua izo kitu sijawahi kupanda, kumbe Bombadia hazina seat number. Ukiingia unagombania kama DCM za mbagala?
Upo sawa. Pamoja ndugu.Kuna mtu alinipa,akanambia mlisoma wote mbagala,katika pics ulizotuma ni mradi wa kuku ndo uliongelewa sana..unless otherwise niwe nimechanganya..lakini kwa descriptions zote na aina hii ya audacity itakua ni wewe tuu.correct me kama siko sawa
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
The Home of Great thinkers. much respect to you we learn from others. Kampuni yako inahusika na nini mkuu.Msela mavi ni mtu kama huyo unayemuona post #22.
Hahahaaa!!sa10 usiku nasoma huu uzi uku nimeweka miguu kwenye maji nimepata akili mpya ya kuto kukata tamaa na nimepata mawazo mapya ya upambanaji hapa ngoja nikalipe kwanza wanaonidai pia niwasamehe walionikosea
Mm nipo mwanza je kwa mawazo mazuri kama hayo naweza je kushea kwa ukaribu zaidi na ww ikiwezekana kwa ukaribu zaidi na ww hata kwa mawasiliano?Afterthought 1:
Niwe tu muwazi - sijibu PM yoyote ile, I mean YOYOTE. Sitoi mawasiliano ya aina yoyote ile, PM kumejaa uhuni, utapeli na kujikamatisha kwa kamansa Xirro.
Maswali yote najibu hapa, maelezo yote nafafanua hapo. Kila mtu ajifunze, wote tugawane darasa huru. Wote tupanuane fikra.