Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Kaka Mkuu Ontario umetoa somo kibwa sna kaka nimependa endelea kutupatia ujanja ujanja vijana wenzako tufkie hatua yako kwani wengi wetu tumekaa kupiga majungu na kufatilia skendo za social network tu kaka nasubili sana kwa hamu hilo somo la kuingiza mil 1 kwa siku tupe akili kaka uzi mtamu sana mpaka basiii asante kaka mkuu we ni role model wang keep it up brother
 
Mkuu umetisha mie nilikuwa na moyo huo wa Chuma ila nikawa msaidizi sana wa kuwapiga tafu ndugu na jamaa maana ilikuwa hamna jinsi... actual nilifika kaumbali kiasi changu ila ndio mlolongo wa shida wa ndugu na jamaa unakuwa unazidi... kuna wakati nikawa nawaweka ndugu na jamaa wapige kazi zangu but zikawa kama ndio mwishowe hadi nikafunga and now nimebakia na vichache hadi nivifufue upya... na magu kabana mno na siri kubwa sipendi kukopa mtaji wa jasho lako ndio huleta mafanikio trust me... make sure ukianza upuganaji usiwe umedhurumu au kumkosea mtu omba misamaha na usamehe waliokukosea and then change your number ingia kazini
 
Safi sana Mkuu kuna jambo nime gain hapa asante.
 
sa10 usiku nasoma huu uzi uku nimeweka miguu kwenye maji nimepata akili mpya ya kuto kukata tamaa na nimepata mawazo mapya ya upambanaji hapa ngoja nikalipe kwanza wanaonidai pia niwasamehe walionikosea
Hahahaaa!!

Saa 10 nimejibu huu uzi nikiwa active kabisa. Mimi siku yangu inaanza saa 9 usiku nakuwa active hadi saa 12 ndio nalala upya hadi saa 3 asubuhi
 
Ki ukweli uko vzuri sana tena sana atakaye beza nae sjui nimejifunza kitu kikubwa sana toka kwako bro,GOD bless u lkn hiyo ni frusa no 1 uliyoipa na nazani kwa ss imeshavamiwa sana kingine no ukweli watu tunashindwa kupiga pandambele kwa kujislia ya kuwa tumrpiga hayo na kuwaachia mwili pamoja na damu yako wakusukumie lkn mwisho wa siku lazma moyo utaamama kwani watafanya yao nakushukuru sana kwani mm ni mmoja wa wathilika wa moyo kusmama nakujikuta mwanza upya tena ubarikiwe.
 
Afterthought 1:

Niwe tu muwazi - sijibu PM yoyote ile, I mean YOYOTE. Sitoi mawasiliano ya aina yoyote ile, PM kumejaa uhuni, utapeli na kujikamatisha kwa kamansa Xirro.

Maswali yote najibu hapa, maelezo yote nafafanua hapo. Kila mtu ajifunze, wote tugawane darasa huru. Wote tupanuane fikra.
Mm nipo mwanza je kwa mawazo mazuri kama hayo naweza je kushea kwa ukaribu zaidi na ww ikiwezekana kwa ukaribu zaidi na ww hata kwa mawasiliano?
 
Back
Top Bottom