Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Hongera sana mkuu kweli Jf kuna mda unaweza ukajiona ushakuwa tajiri kama ukicopy some ideal big up
 
Duuh huu uzi ni kama maji kwa mtu aliye jangwani! Lazima ujifunze kitu hata kama sio kwa kupita alipopita yeye au kufika alipofika yeye.
Shukrani mkuu kwa kutopenda kuwaacha wenzako katika safar ya mafanikio

nashukuru sana kuijua jamii forum
 
Dah yaani umenitia moyo sana. Ngoja nifanyie kazi jambo moja kati ya mengi Uliyoyaongea, nasajili vizuri dirisha la msimu huu
 
Mkuu naomba unielete/utueleze japo kdg hao jamaa walikulaje pesa yako?! Hiyo account ilifungwaje?! Hiyo coin inaitwaje? Je hiyo coin uliinunua kupitia 'Coinbase' au ulinunua kupitia platform yao binafsi?!
Yaani tangazo nililipata kwenye group moja la kilimo kwenye fb yaani pata pesa bila kutoa jasho na cryptoion currency nilipo soma nika join ktk group la whatsapp nikawa nawasoma tu bila kujibu kitu admin wao wahilo group akawa kateka akili za watu kwa maneno ya kusifia na faida wanao pata na kila siku kujirecord audio picha za sreen kupiga faida anazo pata yaani kununua hio bitcoin unanunua kwa 650,000 unapewa bitcoin 0.03

sasa faida kwa kila siku ni 20,000 yani unit inasabu kisha ile unit za faida unatoa unapeleka ktk wallet munauziana nyinyi kwa nyinyi yani thamani munapandisha wenye munavyo uziana sasa admin alikua akihamasisha sana na faida wanazo pata na mimi tama ilinikamata nikamuuliza tule jamaa alie weka tangazo kwenye grop la ufugaji

nilimuuliza hio biashara gani inayo kulipa hivyo kwani hio bitcoin inafanya kazi gani? Akaniambia ni biashara ya mining nikamwambia mimi dini yangu inakata dhulma, kamari, na riba vp kuhusu hio biashara ipo miongoni mwa hizo akanihakikishia nibiashaea ya mining sio ktk hizo maana nilijaribu sana ku search dini inasemaje lkn wengi ilikua ni ?

Basi ikabidi nijiunge kwa huyo ambae nililoliona tangazo lake ni chama kimoja na admin na admin alikua akisisitiza kila alie hamasishwa na mtu ndio ajiunge kwake nikamwambia huyo jama sasa ni bei gani kupata btc 0.03

akaniambia kwa sasa imezidi kupanda toa Tsh 740,000 alinisifia sana kwa hio ni biashara sawa akanionesha jinsi yakufungua wallet paxfull sasa ikawa ni issue mpaka kuniwekea hio btc ilikua namkera kila siku nikaja kuipata baada ya siku 3 ktk wallet eti mtandao unasumbua

haya kueka ktk mining ya cryptoin nilika karibu week ilikua mwakajana mwezi wa 12, nilimsumbua mpaka akanionesha jinsi ya kuhamisha ktk wallet na kupelek kwenye cryptoion mining nilipo weka tu ikaanza kusabu unit nikamwambia anioneshe jinsi ya kupata cash sasa maana inasiku moja tangu ipo mining

akanionesha kupeleka ktk wallet na nikitaka nimuuzie yeye anahitaji sasa akanipa account yake ya wallet yake nikatuma akasema itakapo fika ndio atanilipa ikawa pending tu siku ya pili nikamtafuta member wahio group kua nimuuzie nae tukakubaliana hivyo hivyo nae ikawa pending jioni yake nikaona mzozo tu ktk group lahio whatsapp kua tangu 25 des mtandao wamefunga na inaonesha tumesha tapeliwa

wale admin na wanzake waka wa kimya tu hawachangi tena kama walivyo kua wanahamasisha tukawa tuna jadili sie kwasie member nika mwambia huyo alie niunga wewe siumenipa 100% kua sio utapeli na hii nini? Na kwanini umeniunga naunajua kama matatizo imesha tokea akawa mjeuri na kusema ulitaka nifanyaje mbona na mimi nimewekeza maneno mengi hapo kila kukicha

watu ndio wakaanza kutoboa siri kua hio nikamari na hao kina admin ndio wana dili na hao walio anzisha hio chama ya cryptoion tukawa tunasubiri muafaka sasa hao kina admin nawenzake wakasema hizo account zetu inatakiwa kuongeza pesa ya kununua 1btc dhamani yake sijui iliku dola elfmoja na ama account zetu zita blockiwa wengi tulijua huo niutapeli wa nigeria tu nahao wa tz wanashirikiana nao basi ilitushinda wengine wakakubali kuondoka ktk group wengine tulika tuone muafaka itakuaje maanake nimetoa 740,000 sikupata hatasenti ya faida wala nini

na hela yangu imeingizwa kumbe walishaifunga hio web yao ya cryptoin watu kulalamika sana wakaleta hewani lkn imelokiwa huezi toa inasabu tu member wazoefu wa hio kazi wakanishauri kama imefunguliwa nyingine ni mpya inaitwa lightbitcoin hii mchezo unatakiwa kuwahi mapema ikika mwezi tu wanafunga na huu mchezo inatakiwa kuweka pesa ndogo tu ili wakifunga usipate hasara sababu hela uliotoa ni nyingi sana na imepotea jaribu lightbitcoin ili kamautapata ilipe maumivu yako hata kidogo haya nikatoa 40,000 nikajiunga nahio mpaka leo hii inasabu tu unit haitoi hela haitoi wamefunga na kuhusu cryptoin walitublock kabisa hata shilingi sikupata jumla
780,000 zimeenda na hewa nahilo group nikaondoka nikaona hapa ni chuma ulete ni kamari, dhulma, na utapeli tu hakuna kingine wanavyo pamba maneno utajua nibiashara lkn ingia ni unatapeliwa na kuondoka zako
 
Mkuu hapo ni kweli ulitapeliwa kirahisi sana. Kitu ambacho ulikosa ni 'right information' - taarifa sahihi. Na hao matapeli walitumia kutokujua kwenu ili kuwaingiza cha kike.

Ili kununua BTC kiusalama ni lazima uwe na account basecoin.com na ukweli ni kwamba bitcoin haikuingizii faida kila siku just kwasababu unayo. Yani iko kama dhahabu, mtu aliyenunua dhahabu 2008 kilo 1 ilikua ni mil 40, juzi dhahabu kilo ilikua mil 112.

Sasa bitcoin nayo ipo hivyo hivyo. Ni kitu unasubiri thamani yake ipande, ukiuza ndio unagonga faida.

Lkn pole sana mkuu, ndio kujifunza huko.
 
Uliwezaje kujua ni heka flani exactly maana wapo waongo wanaweza kukwambia heka tano wakati ni sita
 
Wapi naweza pata trekta lenye trela kwa urahisi zaidi? Namaanisha yanakopatikana kwa wingi ili nikodi kwa ajili ya kulitumia mkoani morogoro wakati wa mavuno @ ONTARIO?
 
Bado nipo kwenye utafiti, my first bet is on Mlimba. Kufikia mwezi wa5 nitakuwa na jibu la uhakika zaidi.
 
3707971a98b5dc3d1bc2d5b94f22e7b5.jpg
 
Mkuu hapo ni kweli ulitapeliwa kirahisi sana. Kitu ambacho ulikosa ni 'right information' - taarifa sahihi. Na hao matapeli walitumia kutokujua kwenu ili kuwaingiza cha kike.

Ili kununua BTC kiusalama ni lazima uwe na account basecoin.com na ukweli ni kwamba bitcoin haikuingizii faida kila siku just kwasababu unayo. Yani iko kama dhahabu, mtu aliyenunua dhahabu 2008 kilo 1 ilikua ni mil 40, juzi dhahabu kilo ilikua mil 112.

Sasa bitcoin nayo ipo hivyo hivyo. Ni kitu unasubiri thamani yake ipande, ukiuza ndio unagonga faida.

Lkn pole sana mkuu, ndio kujifunza huko.
Usalama wa pesa zako kwa mfano kampuni ikifa au wakifunga huo mtandao wao utaenda kuwatafutia wapi hao bitcoins? ofisi zao ziko wapi? founder wake ni nani? nimemtafuta online nimemkosa...
 
Ontario unafanya kitu kizuri sana,be blessed.
Endelea na hizi jitihada utainua watu wengi sana.kuna watu wengi sana wako kwenye position ya kutoa information zikawatoa watu kwenye umaskini lakini wamezikalia tu by choice.

Ninaamini unasikia uchungu sana kuona kuna opportunities kibao ila kwa bahati mbaya sio kila mtu anaziona ndio kinachokufanya uonyeshe njia ulizopita na kuweka wazi kila fursa unayoiijua.

Naomba ufanikiwe zaidi na zaidi ili uwe source ya watu wengi zaidi kuinuka kiuchumi.
Watu weusi hatuna laana wala matatizo ni mentality tu na belief ambayo sio ya kweli,TUTAFUTE MAARIFA waliyo nayo waliofanikiwa,pia tukipunguza kuwachukia waliofanikiwa itasaidia sana.
 
Yaani tangazo nililipata kwenye group moja la kilimo kwenye fb yaani pata pesa bila kutoa jasho na cryptoion currency nilipo soma nika join ktk group la whatsapp nikawa nawasoma tu bila kujibu kitu admin wao wahilo group akawa kateka akili za watu kwa maneno ya kusifia na faida wanao pata na kila siku kujirecord audio picha za sreen kupiga faida anazo pata yaani kununua hio bitcoin unanunua kwa 650,000 unapewa bitcoin 0.03

sasa faida kwa kila siku ni 20,000 yani unit inasabu kisha ile unit za faida unatoa unapeleka ktk wallet munauziana nyinyi kwa nyinyi yani thamani munapandisha wenye munavyo uziana sasa admin alikua akihamasisha sana na faida wanazo pata na mimi tama ilinikamata nikamuuliza tule jamaa alie weka tangazo kwenye grop la ufugaji

nilimuuliza hio biashara gani inayo kulipa hivyo kwani hio bitcoin inafanya kazi gani? Akaniambia ni biashara ya mining nikamwambia mimi dini yangu inakata dhulma, kamari, na riba vp kuhusu hio biashara ipo miongoni mwa hizo akanihakikishia nibiashaea ya mining sio ktk hizo maana nilijaribu sana ku search dini inasemaje lkn wengi ilikua ni ?

Basi ikabidi nijiunge kwa huyo ambae nililoliona tangazo lake ni chama kimoja na admin na admin alikua akisisitiza kila alie hamasishwa na mtu ndio ajiunge kwake nikamwambia huyo jama sasa ni bei gani kupata btc 0.03

akaniambia kwa sasa imezidi kupanda toa Tsh 740,000 alinisifia sana kwa hio ni biashara sawa akanionesha jinsi yakufungua wallet paxfull sasa ikawa ni issue mpaka kuniwekea hio btc ilikua namkera kila siku nikaja kuipata baada ya siku 3 ktk wallet eti mtandao unasumbua

haya kueka ktk mining ya cryptoin nilika karibu week ilikua mwakajana mwezi wa 12, nilimsumbua mpaka akanionesha jinsi ya kuhamisha ktk wallet na kupelek kwenye cryptoion mining nilipo weka tu ikaanza kusabu unit nikamwambia anioneshe jinsi ya kupata cash sasa maana inasiku moja tangu ipo mining

akanionesha kupeleka ktk wallet na nikitaka nimuuzie yeye anahitaji sasa akanipa account yake ya wallet yake nikatuma akasema itakapo fika ndio atanilipa ikawa pending tu siku ya pili nikamtafuta member wahio group kua nimuuzie nae tukakubaliana hivyo hivyo nae ikawa pending jioni yake nikaona mzozo tu ktk group lahio whatsapp kua tangu 25 des mtandao wamefunga na inaonesha tumesha tapeliwa

wale admin na wanzake waka wa kimya tu hawachangi tena kama walivyo kua wanahamasisha tukawa tuna jadili sie kwasie member nika mwambia huyo alie niunga wewe siumenipa 100% kua sio utapeli na hii nini? Na kwanini umeniunga naunajua kama matatizo imesha tokea akawa mjeuri na kusema ulitaka nifanyaje mbona na mimi nimewekeza maneno mengi hapo kila kukicha

watu ndio wakaanza kutoboa siri kua hio nikamari na hao kina admin ndio wana dili na hao walio anzisha hio chama ya cryptoion tukawa tunasubiri muafaka sasa hao kina admin nawenzake wakasema hizo account zetu inatakiwa kuongeza pesa ya kununua 1btc dhamani yake sijui iliku dola elfmoja na ama account zetu zita blockiwa wengi tulijua huo niutapeli wa nigeria tu nahao wa tz wanashirikiana nao basi ilitushinda wengine wakakubali kuondoka ktk group wengine tulika tuone muafaka itakuaje maanake nimetoa 740,000 sikupata hatasenti ya faida wala nini

na hela yangu imeingizwa kumbe walishaifunga hio web yao ya cryptoin watu kulalamika sana wakaleta hewani lkn imelokiwa huezi toa inasabu tu member wazoefu wa hio kazi wakanishauri kama imefunguliwa nyingine ni mpya inaitwa lightbitcoin hii mchezo unatakiwa kuwahi mapema ikika mwezi tu wanafunga na huu mchezo inatakiwa kuweka pesa ndogo tu ili wakifunga usipate hasara sababu hela uliotoa ni nyingi sana na imepotea jaribu lightbitcoin ili kamautapata ilipe maumivu yako hata kidogo haya nikatoa 40,000 nikajiunga nahio mpaka leo hii inasabu tu unit haitoi hela haitoi wamefunga na kuhusu cryptoin walitublock kabisa hata shilingi sikupata jumla
780,000 zimeenda na hewa nahilo group nikaondoka nikaona hapa ni chuma ulete ni kamari, dhulma, na utapeli tu hakuna kingine wanavyo pamba maneno utajua nibiashara lkn ingia ni unatapeliwa na kuondoka zako
Duuh! Mkuu pole sana, next time uwe unagoogle kitu husika na kukielewa kwa kina kabla ya kuamua kujiunga, usiwaamini sana watu wanaokuja na maneno matamu bila ushahidi mara nyingi wanataka kupata pesa yako, wakishapata hawana haja na wewe
 
Back
Top Bottom