Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Nikadhn km wasap (koz kwang inaonekn hivy) mzaz! Ugen shidaa... Nunua kakubw lkn [emoji3] [emoji3]
Kero ni kubwa mkuu hata kwa simu yenye display kubwa. Usimquote mtoa mada kwani chochote utakachoandika kitakuwa kimetokana na post yake.
 
Hahaaa pamoja sana jemedari.

Juzi tu hapo tarehe mwezi wa2 tumechoma mahindi, tumepasua sana madafu kuadhimisha birthday yangu ya miaka 23.
Don't reply!
I thought I should tell you this.. you made me cry! Una umri sawa na Mdogo wangu ambaye namfanyia kila kitu na hana akili hata za kushukuru achilia mbali kujitegemea.
Uthubutu wako Ni mkubwa mno mno mno!
Umebarikiwa!

Nimejifunza kitu kikubwa pia, sio zaidi kuwa na idea mpya and as far as I know there is no genuine new idea zote Ni mwendelezo au ukamilifu wa idea Fulani, Ila kutoka kwenye kile unachokifanya chagua ambacho utakifanya perfect.
Thanx and bless you.
 
Very inspiring, hongera sana na Ubarikiwe kwa kutoa somo.
 
Mie mvivu wa kusoma nyuzi ndefu ila nmejikuta tuu navutwa,asee hongera sana yaani hadi vinyweleo vimenisimama kwa msisimko nlioupata!
 
Thank you bro. Ahsante Sana and Mungu akuongezee. Sharing is caring. This materials ni life changing.
 
Watu kama ww ni wachache sana.. Wengi waliofanikiwa wanatujaza maneno hewa tu bila kutupa maujuz kama hayo
 
Ganja sawa..

Ila acha dharau dogo, mwanajeshi uchwara maana yake nn, unaujua msoto wa "huu mshati"!?

Hongera pia
 
Mkuu ONTARIO embu turudi katika uhalisia wa kipindi hiki cha magufuli...

Mtu ni graduate amemaliza chuo mwaka jana...hana kazi yupo kitaa amepigika! Je ni vipi atapata hiyo pesa ya kuanza buzines??

Na kwa ugumu wa biashara na maisha katika era hii ya huyu mjamaa ni vipi graduate anachomoka? Ukizingatia biashara zinafungwa kila siku...mzunguko wa pesa mdogo!! Tuanzie hapa mkuu!!
 
Mkuu ONTARIO embu turudi katika uhalisia wa kipindi hiki cha magufuli...

Mtu ni graduate amemaliza chuo mwaka jana...hana kazi yupo kitaa amepigika! Je ni vipi atapata hiyo pesa ya kuanza buzines??

Na kwa ugumu wa biashara na maisha katika era hii ya huyu mjamaa ni vipi graduate anachomoka? Ukizingatia biashara zinafungwa kila siku...mzunguko wa pesa mdogo!! Tuanzie hapa mkuu!!

Kivipi graduate atapata pesa::
Kwanza niwe muwazi bila kepepesa maneno - mtu anatafuta mkopo kufungua biashara ni popoma (moron). ●Hakuna mtu atakayeweza kukupa pesa ufanye biashara ambayo haijaprove success, biashara inayokopesheka ni ile ambayo tyr ina run na daily/monthly financials zina make sense.
●Biashara yoyote ina uncertainties nyingi sana, 90% ya biashara zinazoanzishwa hufa mwaka wa kwanza, ukichukua mkopo maana unajimaliza mara 2, kwanza kuhakikisha biashara haifi na pili kuhakikisha unalipa mkopo wa watu bila kuuwa biashara.

Njia pekee ya kuwa na mtaji ni personal savings, kama ulikua unakunywa supu chapati 2 na maji kwa 3000 anza kugonga mihogo na kandoro kwa jero (mfn tu). Fanya chochote kikuingiziacho kipato - jiulize watu wanatoka kigoma, mtwara wanakuja kwa magari ya mkaa still wakikaa Dar kwa miezi mi2 wanaeza kuafford chumba, chakula nk. Kuna dogo nilikua naongea nae yeye anauza hizi kahawa na kashata, alinambia kwa siku analala na buk 7.

Ugumu wa biashara::
Sijui unaishi wapi!! Mimi hua nakuwa Dar weekends nyingi, mara kadha hua nazunguka jioni maeneo ya Tabata. Kule kuna Bars nyingi sana kama KP, The great nk. Amsha amsha ni hatari, watu wanagonga mivinyo mpaka asubui, watu wanachoma pesa, mtu wa kawaida kuacha laki 2 pale ni kawaida. Bado unasema hakuna pesa?? Pesa ni ngumu labda kwako. Wanaofunga biashara nahisi ni wale ambao walikua wanatumia njia za uchochoro. Niambie yale maduka ya hardware pale Mwenge mangapi yamefungwa?? Niambie wapi madaladala yamepaki kua hakuna abiria?? Niambie yale maduka ya mbao pale buguruni kama yamefungwa?? Niambie duka gani pale mcity limeacha space wazi!! Umeona juzi diamond kaitwa ufunguzi wa duka gani sijui pale mcity!!

Nisiwe theorist sana - juzi nimeuza mahindi kutoka heka kadhaa nilizolima. Niambie watu wataacha kula
a10c3cdf33d50de431b3e27ed70fd546.jpg
 
Mkuu ONTARIO nina mpango wa kufanya bustani ya mboga mboga, unaweza kujua masoko yake hapa dar na maeneo mboga mboga zinakolimwa kwa wingi hapa Dar ni mboga gani zinapendwa hapa?
 
Afterthought 5:

Picha nyingi nimeficha identity yangu, off course hakuna mtu anayependa kujulikana JF zaidi ya Le mbebeez, le akili kubwa. Sisi wengine wote ni waoga.

So kama incase ukawa unanifahamu kupitia hizo pic ama operations zangu, naomba ukaushe, usianze kuropoka please nakuomba.
bora umesema mapema maana nilikuwa nakuja kumwaga mchele kwenye kuku wengi ila nitakausha mwana Code name "Sitaki Jela" si umenisoma roger that..Big up sana😀😀😀
 
Back
Top Bottom