Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jamaa yaani Janja janja nyiiiiiiingi aisee.

Hata kama tunatafuta pesa siyo hivi.

IMG_20211121_085858.jpg
 
Jamaa yaani Janja janja nyiiiiiiingi aisee.

Hata kama tunatafuta pesa siyo hivi.

View attachment 2034036
Watapigwa tena ukitaka kuwakamata watanzania kuwa na maneno ya kimotivational speakers weka na quoted za wazungu wakina Stegen jobs ,ellon musk na vitabu kadhaa

Vaa suti jifanye unajua mambo ya nje kwa sana

Yaani majitu bado yanamuamini eti kalipa wote wakati kazima ishu kulipa haijalipa bado kashawapiga
 
Jamaa yaani Janja janja nyiiiiiiingi aisee.

Hata kama tunatafuta pesa siyo hivi.

View attachment 2034036
Haha, nimefatilia kiasi issue za huyu ndg Ontario hapa JF kitambo sasa. Hivi inakuaje siku zote kwenye biashara zake hizi za Forex/Crypo, Partners wake ndio wanamletea uhuni tu....Kuna uwezekano mkubwa yeye ndio MUHUNI.
 
Huyu dogo ni mwehu na hatokuja kumiliki pesa, biashara ya kwanza watu walipoteza kaja na ngonjera oohh nitalipa, partners na blah blah kibao halafu watu nao mazuzu bado wanamfuatilia? Mimi baada ya kumfahamu kiundani nikaona acha nimchore tu
 
Back
Top Bottom