Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
umesomeka mtaalamuUsicheke mkuu Hao NI vijana waliingia jf 2022[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesomeka mtaalamuUsicheke mkuu Hao NI vijana waliingia jf 2022[emoji16]
Huyu jamaa alienda wapi ata instagram haposti tena pichaONTARIO the Boss
Wahanga wa forex watakuwa wanajua alipo.Huyu jamaa alienda wapi ata instagram haposti tena picha
We endelea kusikiliza fix za ontarioThank you ontario [emoji120]now am inspired to work hard, maaana nahisi kama napoteza muda
Yupo twitterHuyu jamaa alienda wapi ata instagram haposti tena picha
Tatizo hua unajimwambafai sana,punguza ego'sAfterthought 5:
Picha nyingi nimeficha identity yangu, off course hakuna mtu anayependa kujulikana JF zaidi ya Le mbebeez, le akili kubwa. Sisi wengine wote ni waoga.
So kama incase ukawa unanifahamu kupitia hizo pic ama operations zangu, naomba ukaushe, usianze kuropoka please nakuomba.
Chungulia kwanza last seenTatizo hua unajimwambafai sana,punguza ego's
anaweza kuwa anasoma kimya kimya comments kwa kutumia anonymous account, ama kafungua akaunti feki nyingine anayotumia ku comment. JF hatushindwi kituChungulia kwanza last seen
😊😊Tatizo hua anajiona ana akili sana,wengine hawana akili kumbe wale wa south walimshika mkono wakamtoa kwenye majalalaChungulia kwanza last seen
Chaihuyu jamaa ana mahekari ya mashamba ya mikaratusi iringa, anasafirisha mpaka nje, kuna kampuni kubwa tu hapa dsm ni yake ila anajificha nyuma. Mshkaji alijiwekeza sana
pole sana unafahamu mjengo wake ulipo? Kuna jamaa anafanya nae kazi huwa anatuambia jamaa ana misimamo sana na kujisikia, sio mashamba ya mikaratusi, morogoro ana mashamba analima mapapai, hukk kama unaelekea ana mashamba, huwa jamaa anatembea nae na mpaka vdeo anatuonyesha.Chai
Yuko X = TwitterHuyu jamaa alienda wapi ata instagram haposti tena picha