Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye hli tuko pamoja, jamaa ana kitu. Sema mambo mengi sanaNimemfatilia sana Sirjeff Deniss(ONTARIO) miaka ya 2016,2017,2018 nikiwa chuoni hadi miaka ya 2021 nilichokuja kugundua kwa huyu jamaa ni ana uwezo mkubwa sana wa akili(very very smart), Ni watu wachache sana wenye upeo mkubwa kifikra, kiakili, kimtazamo kiasi hicho na ndio maana ametumia hiyo kma advantage ya kuwatapeli wengi wao humu JF.
Duh kazingua tena?!? Dah mshakaji anajitafutia shida zaidiAmeharibu Tena kule twita bwana wazawa analalamika kutapeliwa na mwamba milioni zake
Nenda X kule mkuu mwamba huenda kweli ni tapeli maana jamaa aliweka vielelezo vyote jinsi alivyoingizwa mkenge, search jina WAZAWADuh kazingua tena?!? Dah mshakaji anajitafutia shida zaidi
Ngoja nipitieNenda X kule mkuu mwamba huenda kweli ni tapeli maana jamaa aliweka vielelezo vyote jinsi alivyoingizwa mkenge, search jina WAZAWA