Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Nimemfatilia sana Sirjeff Deniss(ONTARIO) miaka ya 2016,2017,2018 nikiwa chuoni hadi miaka ya 2021 nilichokuja kugundua kwa huyu jamaa ni ana uwezo mkubwa sana wa akili(very very smart), Ni watu wachache sana wenye upeo mkubwa kifikra, kiakili, kimtazamo kiasi hicho na ndio maana ametumia hiyo kma advantage ya kuwatapeli wengi wao humu JF.
Kwenye hli tuko pamoja, jamaa ana kitu. Sema mambo mengi sana
 
Back
Top Bottom