Ni kama kutafuta sindano kwenye rundo la nyasi. Dar mafundi wa PC kila mtaaHongera kwa kupigana. Ingekuwa Dar ungeipata kweli pamoja na kutumia hiyo mbinu?
Basi kama ni hivyo ujue ni hao jamaa zako kabisa ndio waliokuumiza.Kikulacho ki nguoni mwako.My story is simple, kama movies za van damme za kipindi kile..
Kwa kifupi dogo hakuwa na cha kubisha kwa sababu computer kuwasha tu ilidisplay picha yangu basi tukaichukua kwa dogo akatupeleka kwa aliyempa na aliyempa alipewa na mwizi mwenyewe. Kila kitu tumerudishiwa ila jamaa amekataa kututajia aliyeiba.
Ama kweli, NGARENARO NI KUBWA KULIKO ARUSHA
kumbe na ya kwangu nisikate tamaa, ya kwangu imeibiwa nyumbani siku ya krisimas ya 25th December 2012. tena na rafiki yangu. kaniachia adapta tu! ila kwa hapa dar kwakweli hata sijui nianzie wapi!
Sasa ile pesa ya kununulia Laptop nyingine ukaitoe sadaka either Kanisani au Mskitini....najua siyo chini ya 1,400,000/= garama ya hiyo Laptop
Dar Mwizi ni mwizi, fundi ni mwizi polisi ni mwizi i hate ule mji..una majitu ya ajabu ajabu yasiyo na utu wala uungwana!!