Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

We si ulimpendaga Salim aliyetaka kufanya mke wa pili, pia ulimpenda na muinjilist? Au nimechanhanya mafaili.
 
Nilikataliwa bhn… Huku wanajitapa wanakula kimaskhara kumbe tukiwatongoza wanashindwa kutukula kimaskharaa
Wasikukatishe tamaa hao eti sijui huvutii, sijui ninj, we nifate PM unitongoze mwayego, uone kama nitakukataa. Uone kama nitashindwa kukukula kimasikhara.
 
We si ulimpendaga Salim aliyetaka kufanya mke wa pili, pia ulimpenda na muinjilist? Au nimechanhanya mafaili.

Sasa hao salim na mwinjilissti si wa miaka hii mimi nimesema hii story ni Throwback muda sana
 
Wasikukatishe tamaa hao eti sijui huvutii, sijui ninj, we nifate PM unitongoze mwayego, uone kama nitakukataa. Uone kama nitashindwa kukukula kimasikhara.

Pole mkuu mimi nimeshatongozwaa tayari [emoji23]
 
To yeye ulipoguna nikaona nimfukunyue



 
Wanawake wote wanaotongoza wanaume wana sifa hizi.

1. Malaya
2. Mbovu wa sura
3. Mbovu wa shepu.
4. Mbovu wa tabia.
5. Ana malengo maalumu(kupiga vibomu)
6. Amekupenda kweli [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846].

Though namba 6 ni mostly 4%

(1-5) ni 96%.

Be careful. Na mimi dem akinitongoza au kunishobokea nam dump hapo hapo. [emoji706]
 
2 na 3 zinakwenda moja kwa moja na namba 6
Wenye sura na shepu za kawaida ndio ambao wakimpenda Sana mwanaume hufikia hatua ya kumtongoza kwa sababu mwonekano wao hautoshi kumshawishi yule anayempenda pamoja na kujiweka karibu kwa muda mrefu
 
Wa kwanza
Huyo kaka nilikuwa nampenda mpk namuogopa yaani naona aibu nilikuwa natetemeka hata akinisemesha nikikutana nae na mkwepa👈

Siku hiyo tumekaa nikamkumbuka P ikabidi nimtege shoga angu vipi leo twende tukatembetembee hostel za kina P uzuri na yeye alikuwa na mishe za kwenda huko akasema jioni tutaenda… Kweli bhn jioni yake tukaendaa mpk hostel za kina P👈

Ikabidi mimi ndio nianze kazi ya kumtongoza na nyimbo za maua Sama ile ya mwenzako nakuelewa 👈

👉kilichokuja kunikera kwake ni yeye kumwambia rafiki angu kuwa nimemtongoza aisee nilijisikia vibaya sana… nikamtoa moyoni na nikamwambia kwamba sikupenda kama alikuwa hanitaki asingemueleza best angu

🤫 Wale tuliosomea Cuba tunaonekana mabingwa wa kutongoza kwakuwa njiani hatuhangaiki na our inner emotions peke yake huwa tunakuwa makini pia kusoma emotions za viumbe vingine tunavyokutana navyo.




MAGUFULI4LIFE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…